Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

"State Aviation" Ina KIBALI cha KUHUDUMIA KAMPENI mpaka 31/10/2020 ili kuepuka usumbufu (Kwa mujibu wa barua ya TCCA)

Hivyo UTETEZI wa kwamba ndege haikuwa na RATIBA YA KURUKA SIYO SAHIHI. (NI UONGO)

Kibali kilichotolewa cha mpaka 31/10/2020 kwa ndege hiyo ni KWA KUMTUMIA RUBANI GANI?

Kama UMRI wakurusha ndege ni miaka 65,

kwa mara ya mwisho RUBANI HUYO alirusha hiyo ndege tarehe ngapi?

Mpaka anajiandaa kwenda kurusha ndege, hiyo SHERIA ya miaka 65 hakuijuwa?

Je, analo zuio la kurusha ndege kwa sababu ya UMRI(KUSTAAFU KWA LAZIMA)?

HATA HUVYO NI VUZURI KWA KUWA SHERIA IMEZINGATIWA
 
Uzembe Ni wa shirika au nbwa CHADEMA na mawala wao wa usafiriπŸ€”? Maana wao ndo wameshindwa kutatua Hilo tatizo la rubani asiekidhi vigezo.
Shirika limeshindwa kuwa na rubani mwenye kukidhi vigezo.

CDM wameingiza siasa mahali pasipohitaji siasa kipindi hiki cha kampeni, walitaka huruma za watu lakini huwezi kupewa nchi kwa kutegemea huruma.
 
Wapi Mzee meko amechana mikoa miwili?
 
Kavunja sheria nyingi sana na hakuna hatua aliyo chukuliwa
Sembuse sheria za uchaguzi
Maana yake haya tunayoyadili ni kama kutwanga maji kwenye kinu, hayawezi kubadili chochote.

Kaanza kutumia kisukuma kabla ya kampeni na hana kosa lolote kuongea na jamaa zake kwa lugha wanayoielewa.
 
Nyie ndio wababaishaji,wao TCCA wanafuata sheria na sio mihemko ya kisiasa
Mbona ccm wanavunja sheria wanaangaliwa tu maana wamesimamisha mgombea ubunge wa njombe ambae alikutwa na kosa la ukwepaji kodi na akakiri akalipa na sasa mgombea
 
Halafu wanao changishwa fedha ya kampeni wanayo haki ya kupewa mgawanyo wote wa michango yao.
 
Huu mjadala wa kijinga sana mtu mwenye na akili hawezi kuchangia
 
Shirika limeshindwa kuwa na rubani mwenye kukidhi vigezo.

Chadema wameingiza siasa mahali pasipohitaji siasa kipindi hiki cha kampeni, walitaka huruma za watu lakini huwezi kupewa nchi kwa kutegemea huruma.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
tuliongoea hum kwamba maridhiano , tulimanisha sana but ngoja twende , ukiambiwa ama zko ama zangu na wakati wajua uzito ulio nao jipange sana , msingida anajua anacho kifanya
Msingida haja yake ni kuingiza nchi ktk mtifuano wa wenyewe kwa wenyewe , so far the authorities wameisha jua wanamwacha ajimalize mwenyewe kwani 28/10/2020 sio mbali.

Sasa kwa tabia yake hii anawatia doa Mwenyekiti wa Saccos, saccos yenyewe, na wagombea wa saccos , walezi au wadhamini wa saccos na waasisi wa saccos.

Na hata pia Maalim anaweza kuonekana na yeye hamnazo kama Anti, Sasa sijui kama pia wananchi wengi wanaelewa hivyo , maana uelewa wa watu upo tofauti.

Lakini hizi movie zao ambazo zipi wazi bin shairi kama issue is helicopter zinawafungua macho.
 
Chadema njooni mkanushe kwamba sio kweli taarifa ya mamlaka. Tofauti na hapo nyie ni wazushi, pia wahuni tu.

Mumeomba wenyewe mkakataliwa kwa nini hamkutoa taarifa mapema kwa umma. Mkaona ni rahisi kuibebesha lawama mamlaka
Jitafakalini, sana nyinyi level zenu na properganda ni ubunge tu. Urais bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…