TV4Sale TCL 55" led

TV4Sale TCL 55" led

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,951
TCL 55" LED 1080 HD HDMI 2 PORTS IN, USB 2 , 2 SETS FLOWER PIN
plus lock ya ukutani na miwani ya 3D model: TCL LED55V7300Q3D

Hii sio smart tv ila ina 3D Option na miwani ya kuangalia 3D kama unayo 3D player.
Nitakupa na Chrome Cast ili u connect kwenye Hdmi port kwa ajili ya kucheki Youtube, DstvNow na streaming Channels nyingine,

Nipe 650,000/=

KWANINI IKO SOKONI

sio mbovu haimjui fundi
Nahama, huko ninakohamia shamba hamna umeme. Inabidi mimi mwenyewe nikasimamie mradi wangu kwa karibu, zimeshaibiwa TV Flat 3 mieazi 3 iliyopita hapa mtaani. Kuifungia ndani itakuja bebwa tu

Hii biashara itakuwa ubaoni wiki tu sababu "serious buyer" ameshajitokeza ila nasubiri hela.

PIC_0063.JPG
PIC_0067.JPG
PIC_0072.JPG
 
Vipi ina built in decoder (DVB S2) Model number. Weka namba ya simu
 
‘Siriazi baya’ ameshajitokeza so unatutishia hapa ili iweje?
 
Mi natamani kuiona picha za mchana nione yenyewe sio picha zake
 
Mi natamani kuiona picha za mchana nione yenyewe sio picha zake
Nenda google andika hiyo model number hapo juu iko hivyo hivyo
Mashine zote zenye 1920x1080 resolution ziko vizuri.

Nimeweka picha zile kwasababu hapa bongo hakuna channel au kituo kinarusha HD ni channel moja tu full HD ya Nabii GeorDavie wa Arusha nyingine zote zinachafua mashine za watu
 
Mkuu mimi sitaki kuona mashine inafananaje nataka kujua unayouza inaonekana katika condition gani,yan unauza gari alafu unamwambia mtu kafungue beforwad uone gari ipoje?
 
Mkuu mimi sitaki kuona mashine inafananaje nataka kujua unayouza inaonekana katika condition gani,yan unauza gari alafu unamwambia mtu kafungue beforwad uone gari ipoje?
Nimekusoma. Sio mpya nitajitahidi kuweka picha kesho ila TCL kwa upande wa kushoto na kulia na juu unene wa board ni kama inchi moja kote ila pale chino ina unene wa angalau kam inchi 2 hivi. Hivyo ni Kioo tupu. Basi nitapiga kioo bil picha. Pembenini board ni silver TCL ni nyembamba sana pembezoni kioo kimejaa

Nadhani haya maelezo yatawaelewesha wengine
 
Back
Top Bottom