TCRA, biashara ya ngono inashamiri mitandaoni hamuoni au mmeuchuna tu?

Huko kuna utapeli mwingi, Mtu akijichanganya anapigwa na kitu kizito.

Kwa hiyo hapa si suala la kujiuza tu na swala la Watu kutapeliwa.
Aisee hii kitu ni mbaya sana maana ukijichanganya ukahisi unaenda kukutana na mwanamke ukatuma hela ujue imeisha hiyo.

Unaambiwa kuna wadau (Wanaume) wamekaa home wanatengeneza Account wanajiita labda Utamu wa Pwani halafu anacomment kama mwanamke anayetafuta mpenzi anaweka na namba yake.

Ukijichanganya umtafute atataka umtumie hela, ukituma tu unakulablock ndo inakuwa imeisha hiyo
 
Uchi ni mali Binafsi ya mtu,serikali haiwezi kufuatilia jambo hilo kwani halina athari kwa sababu hadi ununue basi mmeelewana huko inbox
Matako tu ndio mali ya Serikali hapa Tz ndio mana wale wanaotoa Ndogo huwa wanashitakiwa
 
Uchi ni mali Binafsi ya mtu,serikali haiwezi kufuatilia jambo hilo kwani halina athari kwa sababu hadi ununue basi mmeelewana huko inbox
Matako tu ndio mali ya Serikali hapa Tz ndio mana wale wanaotoa Ndogo huwa wanashitakiwa
Hhahah daaah Mkuu mbona Malaya wanakamatwa na kudhibitiwa sasa?
 
Hhahah daaah Mkuu mbona Malaya wanakamatwa na kudhibitiwa sasa?
Ni mara chache sana Mkuu,ukiona wwmekamatwq basi waligoma kutoa pesa, sidhani hata adhabu yao kama inafikaga miezi sita jera
 
Mi ninavyojua wanunua ngono hatujakukosea kitu. Kama nguvu za kiume ni zetu na wewe una zako pia (that is, if you have them)
 
Wako bize na Chadema kwanza
 
Ubongo wako unakosa akili kiasi gani mpaka uanze kufatilia mtu liyecomment "LEO NATOA OFA NYUMA NA MBELE KWA KUMI WA MWANZO". au "LEO NINA HAMU NA NINI SIJUI"

Hadi hili mnataka serikali ikataze kweli?? Pesa ya kwako kanunue hao viumbe kwa raha zako usitake serikali ikukataze.
 
Mtu anauza mwili wake wewe kinakuwasha nini?
Muwaache wapumuwe.
 
Naheshimu mawazo yako Mkuu. Asante kwa maoni yako yapo sahihi. Lengo langu ilikuwa kuzikumbusha mamlaka kutimiza wajibu wao ili kudhibiti kushamiri kwa ngono mitandaoni. Biashara hizi zinaathiri na kugusa maisha, afya na saikolojia ya watu.

Natumai wale walioona hatari ya jambo hili wameelewa.
 
Ushawahi kusikia TCRA wamefanikisha kukamatwa hata tapeli mmoja? zaidi huwakama wanatukana wanasiasa tu, matapeli wanaweka hadi namba za simu na hawakamatwi
 
wao wenyewe ni wateja. dawa ni mtu binafsi kujicontrol kwa kuokoka na kuikimbia dhambi. ila dunia imeharibika zaidi ya hivyo ujuavyo.
 
Sijaelewa hoja ya mleta mada . Kwamba anachukia umala au anachukia umalaya kufanyika waziwazi twita instagram na telegram?. Kwamba umalaya usipofanyoka mtandaoni hakuna shida?
 
Salaam wakuu, natumai nyote mpo salama

Ndugu zangu kijana wenu nimekuwa mtumiaji wa mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwamo Telegram, Instagram, Twitter na mingineyo...
Una uhakika gani unaoshitaki kwao hawawezi kuwa wao na kama nao ni wao wanawezaje kukuelewa ili hali nao ni wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…