Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yangu inasema Mwanao kaanguka anahitaji kwenda hospitali tuma pesa kwa no. 0738 103 759 uzuri sina mtoto wa kusoma. Niliwajibu mwache afe.
1. 0734045946 TUMA KWENYE 0742608414
Tafadhali hawa matapeli bado wanazidi kuongezeka naombeni kila mmojawetu akipata ujumbe huo au wanamna hiyo kitapeli wekeni hizo namba hapa ili wahusika iwe rahisi kuwafatilia.
Hao wameshindikana hakuna wa kuwafatilia wanafahamika na wanadunda tuYangu inasema Mwanao kaanguka anahitaji kwenda hospitali tuma pesa kwa no. 0738 103 759 uzuri sina mtoto wa kusoma. Niliwajibu mwache afe.
Hao wameshindikana hakuna wa kuwafatilia wanafahamika na wanadunda tu
1. 0734045946 huyo anaitwa Lilian Felix Kalinga
2. 0742608414 - Terezia Kipesha
3. 0738 103 759 - Stephen Nyakumosa Kadilo
4. Mwngne huyu hapa 0694081713 - Musa Makonde
Sent using Jamii Forums mobile app
1. 0734045946 TUMA KWENYE 0742608414
2. 0675053159
3. 0713839130
4.
Tafadhali hawa matapeli bado wanazidi kuongezeka naombeni kila mmojawetu akipata ujumbe huo au wanamna hiyo kitapeli wekeni hizo namba hapa ili wahusika iwe rahisi kuwafatilia.
Aliyotuma msg 0738694150 [emoji116]
CBasi iyo ela itume tu kwenye namba hii 0753478363 jina litakuja (Restuta Tenda)
Hao TCRA nao ni wa kutumbua tu. Hakuna wanachaofanya. Wangetakiwa wawe wameshawaza kama ulivyowaza wewe i.e. wafungue thread kwa ajili ya wananchi kuripoti hizo namba. Zikiripotiwa kila siku na wao wakizifuatilia na zinazogundulika ni za kitapeli zikaondolewa basi kuna baada ya muda zitakuwa zimepungua kabisa kama siyo kuisha.1. 0734045946 TUMA KWENYE 0742608414
Tafadhali hawa matapeli bado wanazidi kuongezeka naombeni kila mmojawetu akipata ujumbe huo au wanamna hiyo kitapeli wekeni hizo namba hapa ili wahusika iwe rahisi kuwafatilia.
Nchi ya ajabu sana hii. Tumekimbizwa kusajili kwa vitambulisho kwa visingizio vya kuongeza usalama, leo haya yanatokea wahusika wapo kimya hakuna anaejigusa.Hao TCRA nao ni wa kutumbua tu. Hakuna wanachaofanya. Wangetakiwa wawe wameshawaza kama ulivyowaza wewe i.e. wafungue thread kwa ajili ya wananchi kuripoti hizo namba. Zikiripotiwa kila siku na wao wakizifuatilia na zinazogundulika ni za kitapeli zikaondolewa basi kuna baada ya muda zitakuwa zimepungua kabisa kama siyo kuisha.
Huyo alinitumia na mimi janaAliyotuma msg 0738694150 π
CBasi iyo ela itume tu kwenye namba hii 0753478363 jina litakuja (Restuta Tenda)