TCRA fatilieni namba za matapeli wa "Nitumie kwenye namba hii"

TCRA fatilieni namba za matapeli wa "Nitumie kwenye namba hii"

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
1. 0734 045946 TUMA KWENYE 0742 608414

2. 0787 069784 HAPA TRA kwa nn unafanya biashara bila EFD ? nakuandikia fine 3mln

3. 0738 136451 Hapa shuleni mm ni mwl mtoto wako anaumwa tuwasiliane haraka.

4. 0754 018793 Hapa morogoro nimetuma pesa kimakosa sh 47,500

5. 0692 412169 Voda huduma kuna mteja 0754018793 ametuma pesa kimakosa msaidie.

6. 0734 083764 Itumie namba hiyo 0679 376026 pesa jina THOMAS KIZIBA

Tafadhali hawa matapeli bado wanazidi kuongezeka naombeni kila mmojawetu akipata ujumbe huo au wanamna hiyo kitapeli wekeni hizo namba hapa ili wahusika iwe rahisi kuwafatilia.
 
1. 0734045946 TUMA KWENYE 0742608414

Tafadhali hawa matapeli bado wanazidi kuongezeka naombeni kila mmojawetu akipata ujumbe huo au wanamna hiyo kitapeli wekeni hizo namba hapa ili wahusika iwe rahisi kuwafatilia.
Yangu inasema Mwanao kaanguka anahitaji kwenda hospitali tuma pesa kwa no. 0738 103 759 uzuri sina mtoto wa kusoma. Niliwajibu mwache afe.
Hao wameshindikana hakuna wa kuwafatilia wanafahamika na wanadunda tu

1. 0734045946 huyo anaitwa Lilian Felix Kalinga

2. 0742608414 - Terezia Kipesha

3. 0738 103 759 - Stephen Nyakumosa Kadilo

4. Mwngne huyu hapa 0694081713 - Musa Makonde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote hawa wakutaniapo na kadi za ccm
Hao wameshindikana hakuna wa kuwafatilia wanafahamika na wanadunda tu

1. 0734045946 huyo anaitwa Lilian Felix Kalinga

2. 0742608414 - Terezia Kipesha

3. 0738 103 759 - Stephen Nyakumosa Kadilo

4. Mwngne huyu hapa 0694081713 - Musa Makonde

Sent using Jamii Forums mobile app

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Aliyotuma msg 0738694150 👇

CBasi iyo ela itume tu kwenye namba hii 0753478363 jina litakuja (Restuta Tenda)
 
1. 0734045946 TUMA KWENYE 0742608414

Tafadhali hawa matapeli bado wanazidi kuongezeka naombeni kila mmojawetu akipata ujumbe huo au wanamna hiyo kitapeli wekeni hizo namba hapa ili wahusika iwe rahisi kuwafatilia.
Hao TCRA nao ni wa kutumbua tu. Hakuna wanachaofanya. Wangetakiwa wawe wameshawaza kama ulivyowaza wewe i.e. wafungue thread kwa ajili ya wananchi kuripoti hizo namba. Zikiripotiwa kila siku na wao wakizifuatilia na zinazogundulika ni za kitapeli zikaondolewa basi kuna baada ya muda zitakuwa zimepungua kabisa kama siyo kuisha.
 
0747878818

"super feo nasikitika sana nimekupa ndangu yangu na umefuata masheriti na umepata utajili mkubwa na unaniheshimu babu yako ukumbuke wewe na wenzako mwendamseke manyanya na huyu chijana wa mwanza...." blah blah blah, wanasumbua sana hawa mapimbi ikiwa pamoja na hawa washenzi wa MOJASPESHO. 😡 Ningekua na mahali pa juu zaidi pa kwenda kushtaki, ningewashtaki wajinga hawa 😡
 
Hao TCRA nao ni wa kutumbua tu. Hakuna wanachaofanya. Wangetakiwa wawe wameshawaza kama ulivyowaza wewe i.e. wafungue thread kwa ajili ya wananchi kuripoti hizo namba. Zikiripotiwa kila siku na wao wakizifuatilia na zinazogundulika ni za kitapeli zikaondolewa basi kuna baada ya muda zitakuwa zimepungua kabisa kama siyo kuisha.
Nchi ya ajabu sana hii. Tumekimbizwa kusajili kwa vitambulisho kwa visingizio vya kuongeza usalama, leo haya yanatokea wahusika wapo kimya hakuna anaejigusa.

Wakati mwngne unashindwa kuelewa hata nini maana ya kusajili kwa vitambulisho sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom