Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,933
- 988
Kwa sababu hiyo, basi na hii miziki karibia yote ya kizazi kipya ifungiwe/ifutwe. Maana nayo inaharibu jamii 'kidogp-kidogo'
Kama ile ya kugusanisha hasi na chanya....nyama kwa nyama yule maua sama kaimba pornoFor sure nyimbo nyingi za bongoflava sasa hivi hazifai kusikilizwa na jamii.
Badala ya kuimba mapenzi wao wanaimba tendo la ndoa/ ngono.
Na watoto wetu wakizisikiliza wanaanza kutuimbia kama vile ni nzuri
Katika jamii iliyostaarabika hizi nyimbo hazifai.
Sent using Jamii Forums mobile app