TCRA GB 1 Yafikia shilingi 1,861 ambayo itapanda, Ni jitihada za kuiminya internet kwa lengo lipi ?

TCRA GB 1 Yafikia shilingi 1,861 ambayo itapanda, Ni jitihada za kuiminya internet kwa lengo lipi ?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
TCRA kuna nini huko, Nachojua hizi internet TCRA ndio kama anaewajumulia mitandao ya simu waje kutuuzia kwa reja reja, Hatuwezi kuilaumu mitandao ya simu bali TCRA, Wao wakipandisha bei basi na mitandao inapandisha.

Kuna nini hasa ? Hizi ni danadana za haba na haba hujaza kibaba sitakja kushangaa GB 1 kuuzwa elfu 5 maana bei zinapanda kila mara.

Kwa hali hii watu wengi hawatapata internet, ni kwanini hamtaki ifikie wengi ?
 
Mwenye gesi ndie alianza kushusha vifurushi baada ya kununua mtandao, kwa fitina za mwenye gesi na nguvu alizonazo hata hao TCRA hawana jeuri ya kubadili bei za vifurushi, walamba asali sasa wanakunywa asali.
 
Kwa hiyo hadi huku kwenye GB's wanataka kusingizia vita au naona Kama ni uhuni unaendelea

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Haya ndio madhara ya nchi kukopa pesa kwa ajili ya projects zisizozalisha. Matokeo yake marejesho ya mikopo hukamuliwa wananchi wasio na hatia..
 
Mwaka huu watakamua hadi mbupu zetu ili wapate kodi ya kulipia mikopo yao ya kingese[emoji29][emoji29][emoji1241][emoji1241]
 
Hivii jamanii ane juwaa vizuriii kuhusu WiFi kama inawezekana kifunga kwako
 
tunakoelekea bandle litakuwa anasa[emoji23][emoji23]

utakuwa unanunua mb 25 unasoma post kadhaa jf na sms whatsapp kisha unazina data mpaka wiki nyingine tena.
 
TCRA kuna nini huko, Nachojua hizi internet TCRA ndio kama anaewajumulia mitandao ya simu waje kutuuzia kwa reja reja, Hatuwezi kuilaumu mitandao ya simu bali TCRA, Wao wakipandisha bei basi na mitandao inapandisha.

Kuna nini hasa ? Hizi ni danadana za haba na haba hujaza kibaba sitakja kushangaa GB 1 kuuzwa elfu 5 maana bei zinapanda kila mara.

Kwa hali hii watu wengi hawatapata internet, ni kwanini hamtaki ifikie wengi ?
Moto wa KATIBA MPYA..... Kuzuia wengi kupata taarifa za mtandaoni... Wamefaulu kuyathibiti magazeti na radio.. Sasa nguvu zinaelekezwa mitandaoni.... Kwa ustadi ili wasishtukiwe wanajificha na kushambulia eneo Hilo la gb kumlemaza mtumiaji!
 
Back
Top Bottom