sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Moto wa KATIBA MPYA..... Kuzuia wengi kupata taarifa za mtandaoni... Wamefaulu kuyathibiti magazeti na radio.. Sasa nguvu zinaelekezwa mitandaoni.... Kwa ustadi ili wasishtukiwe wanajificha na kushambulia eneo Hilo la gb kumlemaza mtumiaji!TCRA kuna nini huko, Nachojua hizi internet TCRA ndio kama anaewajumulia mitandao ya simu waje kutuuzia kwa reja reja, Hatuwezi kuilaumu mitandao ya simu bali TCRA, Wao wakipandisha bei basi na mitandao inapandisha.
Kuna nini hasa ? Hizi ni danadana za haba na haba hujaza kibaba sitakja kushangaa GB 1 kuuzwa elfu 5 maana bei zinapanda kila mara.
Kwa hali hii watu wengi hawatapata internet, ni kwanini hamtaki ifikie wengi ?