Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Nilinunua kifurushi cha wiki cha Airtel nikiwa safarini Marangu Moshi, nilipofika nikakuta Airtel haipatikani hivyo kifurushi kikaisha kwa muda niliokuwepo hapo! TCRA wao wanajionea sawa tu. Nilitika Marangu nikaenda Moshi mjini eneo la KCMC ah!
Nako ni shida tu mpaka mwenyeji akuelekeze mahali unapoweza kuupata mtandao! Na maeneo mengi kwenye barabara ya Segera kwenda Moshi tunaliwa vifurushi vyetu bila fidia! TCRA ni sehemu la kundi linalo shiriki dhuluma dhidi yetu.
Nikija kwenye runinga nako unskutana na Azam, hawa hawaishi kupandisha bei vifurushi vyao na kunyofoa baadhi ya cheneli ambazo tayari tumezilipia! TCRA pia wanaona sawa tu!
TCRA tuwekeeni tangazo linalohusu vifurushi vya simu na runinga lisemalo "NUNUA KIFURUSHI KWA HASARA YAKO MWENYEWE" (BUY AT YOUR OWN RISK).