TCRA hivi mmeshindwa kufuatilia YouTube channels contents zilizosajiliwa?

TCRA hivi mmeshindwa kufuatilia YouTube channels contents zilizosajiliwa?

KIMARA BRIDGE

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
262
Reaction score
270
Kwa kweli ni kichefuchefu, watu wanafanya promo kama hawana wazazi au ndugu, mbaya zaidi wana promote Sodoma na Gomora na vitoto sijui walikuja kufanya kazi za ndani wakaasi? Manake ni zaidi ya huyo anayewasimamia (mkuu wa mashetani) Hebu fuatilieni hii channel ya Ophoro Tube.

Kwa kweli ni zaidi ya upumbavu na ikiwezekana warudishwe kijijini walikotoka, hakuna mtoto wa mjini anaweza kuwa au ku act kama vile hauna jirani. Jamani watoto wa form one na two wana hivi visimu vya kisasa muwaonee huruma.
 
Imenibidi nikawaangalie, Wanafollowers laki tatu na ushee. Acha wenzako wajiajiri bwana kuliko wawe majambazi.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kwa kweli ni kichefuchefu, watu wanafanya promo kama hawana wazazi au ndugu, mbaya zaidi wana promote Sodoma na Gomora na vitoto sijui walikuja kufanya kazi za ndani wakaasi? Manake ni zaidi ya huyo anayewasimamia (mkuu wa mashetani) Hebu fuatilieni hii channel ya Ophoro Tube.

Kwa kweli ni zaidi ya upumbavu, na ikiwezekana warudishwe kijijini walikotoka, hakuna mtoto wa mjini anawezakuwa au ku act kama vile hauna jirani. jamani watoto wa form one na two wana hivi visimu vya kisasa muwaonee huruma.
Buddah.. Acha ushamba, kitu cha kwanza unachotakiwa kujua mpaka unaiona hiyo content ni kwamba upo over 18 years na kingine unakuta lengo la video ni kuelimisha jamii kutokana na tabia iliyosambaa kwa sasa.. So unataka waachaje kusema hivyo?

Ile heading pale ina wavutia hata wale watendaji iliwapate elimu husika kwamba wanachofanya kina madhara.. Ila kama mpaka wewe unasema wanashawishi watu kufanya ujinga basi ni kwamba baada ya kuangalia ulijikuta unataka kujaribu..[emoji23][emoji23][emoji23]

Please don't.. Ile ni kwaajili ya kuelimisha jamii tu
 
Buddah.. Acha ushamba, kitu cha kwanza unachotakiwa kujua mpaka unaiona hiyo content ni kwamba upo over 18 years na kingine unakuta lengo la video ni kuelimisha jamii kutokana na tabia iliyosambaa kwa sasa.. So unataka waachaje kusema hivyo?...

kama ni kuelimisha ni bora watafute wataalamu wa video productions ambao wanaweza kuficha baadhi ya maneno na siyo kijisifia kama vile wamepata first class degree, ila kuna upungufu wa elimu somewhere. kama TCRA wakishindwa, tutawa report yuotube wawapige ban
 
mambo ya viewers

kwa kweli yaani wadhibiti maana kichwa cha habari kipo hivi na kilichomo ndani tofauti sana
 
Back
Top Bottom