Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Mkuu kazi ya ku hold YouTube channel usipo weka ujinga utakesha.Kwa kweli ni kichefuchefu, watu wanafanya promo kama hawana wazazi au ndugu, mbaya zaidi wana promote Sodoma na Gomora na vitoto sijui walikuja kufanya kazi za ndani wakaasi? Manake ni zaidi ya huyo anayewasimamia (mkuu wa mashetani) Hebu fuatilieni hii channel ya Ophoro Tube.
Kwa kweli ni zaidi ya upumbavu na ikiwezekana warudishwe kijijini walikotoka, hakuna mtoto wa mjini anaweza kuwa au ku act kama vile hauna jirani. Jamani watoto wa form one na two wana hivi visimu vya kisasa muwaonee huruma.
Niamini ukiwa na channel ukaweka content za maana viewers 10 kwa siku.
Ila ukiweka upuuzi viewers 1k kwa saa.
Tuulize tunao hold YouTube channel unakuta mwaka mzima una subscribers 20 nao ni marafiki zako tu.