KIMARA BRIDGE
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 262
- 270
Video ina view 1m+Kuna video yao moja nimeona ina headline"alisema anaingiza kichwa tu"..
Utopolo kweli hii channel
Shetani hatokujaribu kwenye hili, kwakua umemuomba MunguMungu naomba unisaidie nisiende hata kuchungulia..... Maana ndo Kwanzaa naiskia hapa
Buddah.. Acha ushamba, kitu cha kwanza unachotakiwa kujua mpaka unaiona hiyo content ni kwamba upo over 18 years na kingine unakuta lengo la video ni kuelimisha jamii kutokana na tabia iliyosambaa kwa sasa.. So unataka waachaje kusema hivyo?Kwa kweli ni kichefuchefu, watu wanafanya promo kama hawana wazazi au ndugu, mbaya zaidi wana promote Sodoma na Gomora na vitoto sijui walikuja kufanya kazi za ndani wakaasi? Manake ni zaidi ya huyo anayewasimamia (mkuu wa mashetani) Hebu fuatilieni hii channel ya Ophoro Tube.
Kwa kweli ni zaidi ya upumbavu, na ikiwezekana warudishwe kijijini walikotoka, hakuna mtoto wa mjini anawezakuwa au ku act kama vile hauna jirani. jamani watoto wa form one na two wana hivi visimu vya kisasa muwaonee huruma.
Buddah.. Acha ushamba, kitu cha kwanza unachotakiwa kujua mpaka unaiona hiyo content ni kwamba upo over 18 years na kingine unakuta lengo la video ni kuelimisha jamii kutokana na tabia iliyosambaa kwa sasa.. So unataka waachaje kusema hivyo?...
AhahaaMungu naomba unisaidie nisiende hata kuchungulia..... Maana ndo Kwanzaa naiskia hapa
Algorithms za YouTube zinakuletea recommendation vids kutokana na unachopenda kutazama..Unakuta kichwa cha habari "alinipa pesa akaniingilia nyuma kwa nguvu"
kupata pesa kwa njia za kisengeRoho Mbaya wenzako wanapata pesa wakaibe?
[emoji4][emoji4][emoji4]Ahahaa