TCRA hivi mmeshindwa kufuatilia YouTube channels contents zilizosajiliwa?

Mkuu kazi ya ku hold YouTube channel usipo weka ujinga utakesha.
Niamini ukiwa na channel ukaweka content za maana viewers 10 kwa siku.
Ila ukiweka upuuzi viewers 1k kwa saa.
Tuulize tunao hold YouTube channel unakuta mwaka mzima una subscribers 20 nao ni marafiki zako tu.
 
Sio kweli kwa sababu mimi mwenyewe ni shahidi ya mambo hayo et usipo weka ujinga utakesha kuna channels nyingi nazifahamu mfano uki-ingia youtube uka-search @snashtz huyu jamaa anafanya review na unboxing ya simu mbalimbali kwa upande wa sub anayo 60k na ushee na views usiseme naweza kusema anawazidi hata hao wanaoposti ujinga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…