Mkoba wa Mama
JF-Expert Member
- May 5, 2021
- 280
- 173
Hii ni mbaya sana, mtu anafanya uhalifu huko, unakuja kukamatwa wewe mmiliki wa NIDAShida ilianzia pale ulipoweka kidole mara ya kwanza na akasema umekosea. Pale alikuwa tayari kashasajili line hiyo ya airtel na ukiweka mara ya pili ndo ana deal na line yako. Wakishasajiri kwa mtindo huo Huwa wanaenda kuwauzia watu wasio na namba za nida na Wana huitaji wa line line asa asa BEKI TATU na WATOTO WA 2000. Bei yao elekezi ni Tsh 5000/=.Unatakiwa kuwa makini kuchungulia mara kwa mara namba ambazo zimesajiliwa kwa NIDA yako
Tapeli tu huyo angekuwa anaweza kufanya haya angekwishapata ajira.Naomba kufahamu Hii kitu inafanyika kweli??
Ukishajua huna chakufanya zaidi ni kuambiwe uende ofisi iliyo karibu na wewe.Ukitaka kujua NIDA yako imesajili namba ngapi piga *106#.... kwa kila mtandao.
Jua kwanza. Mengine yanafuatia. Information is power.Ukishajua huna chakufanya zaidi ni kuambiwe uende ofisi iliyo karibu na wewe.