Wamefunga channel za bure kama TBC1, nk. kwa muda sasa, mwanzoni walikuwa wanazifunga kwa siku za mwisho wa juma na kuzifungua Jumanne ila sasa naona kwasababu ya ukimya wenu wamezifunga kabisa na hivyo kuwanyima Watanzania habari ambayo ni haki yao.
Tunaiomba TCRA hawa watu wafuate masharti ya leseni yao au wafungiwe kabisa.