TCRA imulike hujuma inayofanywa na Star TV (Kisimbuzi cha Continental)

TCRA imulike hujuma inayofanywa na Star TV (Kisimbuzi cha Continental)

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Wamefunga channel za bure kama TBC1, nk. kwa muda sasa, mwanzoni walikuwa wanazifunga kwa siku za mwisho wa juma na kuzifungua Jumanne ila sasa naona kwasababu ya ukimya wenu wamezifunga kabisa na hivyo kuwanyima Watanzania habari ambayo ni haki yao.

Tunaiomba TCRA hawa watu wafuate masharti ya leseni yao au wafungiwe kabisa.
 
Wanafunga hata ukiwa na kifurushi? Au wanafunga kwasababu umeishiwa kifurushi?
 
Hata DStv wana tabia hii. Tena wao wnafunga TBC kabisa.
 
Hama achana nao.

nunua azam king'amuzi kifurushi kikiisha unaona tbc,itv,chanel 10,clouds,eat tv,star tv ,................buree
 
Back
Top Bottom