TCRA, inakuwaje magazeti ya Uhuru na Jamvi la Habari hayajafungiwa kwa kuripoti habari sawa na Clouds Media?



Technology imebadilika hiki sio kipindi Cha nyerere. Vyombo vyote vya habari vipo online/pia Facebook/Twitter/Instagram

Unavyosema havipo chini ya tcra unanishangaza. Na habari zao huwa wanazitoa online vile vile.

Ukiona vichwa vya habari vinatrend mitandaoni jua ni wao wanavitoa.


KUBALI TUU KUNA DOUBLE STANDARD.
 
Write your reply...Adhabu za wale jamaa hizi... yani kukaa siku nzima kuomba radhi tu!
 
Write your reply...Adhabu za wale jamaa hizi... yani kukaa siku nzima kuomba radhi tu!
we call it public harassment...umefanya kosa sasa unaambiwa njoo lala chini unachapwa fimbo mbele ya jamii ukitoka hapo na jina unabadilishwa....ndo siku nyingne utajifunza...tv kila mtu anaangalia ila magazeti wananunua wachache tu
 
Print media haiko moderated na tcra except for online
 
Haya yote kuisha nchini Tanzania, Ni October 28.
Baada ya uchaguzi, rangi ya kijani itakuwa imepotea mitaani kwa aibu kubwa
Maneno ya kujipa matumaini ya kushinda ni upuuzi mkubwa. Wewe unaona wagombea wanaondolewa na hakuna hata nguvu ya chama pinzani inayoonekana, utapata wapi ushindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…