TCRA inazika umaarufu wa Bongo Flava tuliokuwa nao Afrika, mwaka huu tumeshuhudia views za YouTube zikidondoka na bado zinaendelea kuporomoka

TCRA inazika umaarufu wa Bongo Flava tuliokuwa nao Afrika, mwaka huu tumeshuhudia views za YouTube zikidondoka na bado zinaendelea kuporomoka

Kuna point kidogo

Lkn binafsi naona tofauti.

Umaarufu wa YouTube unapungua, ndani ya mwezi naingia YouTube 2x inawezekana hats wengi wetu ni hivyo japo kule hakutumii mb nyingi.

Tifikirie
 
Watu wanapambania tumbo kilo moja ya unga 1800 sasa kipi Bora kuangalia ngono za diamond au kula ugali?
 
Back
Top Bottom