Zimenikuta mara nyingi mno mpk ninawatukana pia nimegundua kuwa wana hacked account za watu na kufanya michezo iyo😡Vipi umeshasikia kuhusu zile pesa za Unicef? Ukiingia mkenge umeliwa sababu ya Tamaa zako
Ni kweli inawezekana wanafanikiwa, ndio maana tunapaza sauti wasakwe wasiendelee kuwatapeli watu. Kutokana na umaskini kutamalaki ni rahisi watu kunasa kwenye mitego ya matapeli hao kwa kuwatamanisha watu na utajiri wa haraka.Vipi umeshasikia kuhusu zile pesa za Unicef? Ukiingia mkenge umeliwa sababu ya Tamaa zako
Ni kweli, wanadukua namba za simu za watu na kutumia kuwahadaa watu kwa utapeli huo. Tuorodheshe humu namba zote wanazotumia ili mamlaka husika ziwafuatilie.Zimenikuta mara nyingi mno mpk ninawatukana pia nimegundua kuwa wana hacked account za watu na kufanya michezo iyo😡
Sasa unaambiwa ioli upate ile milioni mbili toka UNICEF basi uchangie kiasi flani cha pesa. Why wasikate hicho kiasi hukohuko? 😀Ni kweli inawezekana wanafanikiwa, ndio maana tunapaza sauti wasakwe wasiendelee kuwatapeli watu. Kutokana na umaskini kutamalaki ni rahisi watu kunasa kwenye mitego ya matapeli hao kwa kuwatamanisha watu na utajiri wa haraka.
Yaani mtu akifuata link yao inampeleka kwenye namba ya WhatsApp ya Kenya huko. Pale ndio anakuwa hacked. Saaa hivi wanahack mpaka WhatsApp maana walikuwa kule Facebook tu.Zimenikuta mara nyingi mno mpk ninawatukana pia nimegundua kuwa wana hacked account za watu na kufanya michezo iyo😡
Hakika ni suala la kutumia lojiki hiyo kugundua utapeli wao ila si wote wenye upeo huo wa ufahamu na huangukia kwenye mitego yao. Ndio tuwasaidie kwa kupasa sauti ili wahusika wasakwe popote na wasiendelee kuwatapeli watu.Sasa unaambiwa ioli upate ile milioni mbili toka UNICEF basi uchangie kiasi flani cha pesa. Why wasikate hicho kiasi hukohuko? 😀
Unatuma 150k wanapotea nayo
Umesema kweli tupu. Tuorodheshe humu namba zote wanazotumia matapeli haoYaani mtu akifuata link yao inampeleka kwenye namba ya WhatsApp ya Kenya huko. Pale ndio anakuwa hacked. Saaa hivi wanahack mpaka WhatsApp maana walikuwa kule Facebook tu.
Tukiacha kupenda vya bure hawawezi kutupata Sema shida yaani umaskini ni jambo baya sana