TCRA itoke hadharani kukiri kuwa muziki wa matapeli wa mtandaoni umewashinda

TCRA itoke hadharani kukiri kuwa muziki wa matapeli wa mtandaoni umewashinda

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
2,601
Reaction score
2,058
Sasa imekuwa KERO, KERO KERO jumbe za kitapeli mtandaoni zimekuwa nyinginyingi mno!

Hapa nadhani TCRA umefikia wakati watoke hadharani na kukubali kuwa muziki wa matapeli umewashinda.

Kama kupata line za simu lazima uwe na namba ya NIDA, iweje tabia hii ya kitapeli izidi kushika kasi? TCRA mmetoa number kwa ajili ya kuripoti jumbe zote za kitapeli lakini majibu yenu ni ya kimtandao.

Toeni majibu ya orodha ya majina na namba za matapeli mliowakamata na kuwawajibisha.
 
Back
Top Bottom