Hujui unalolizungumza.Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa.
Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa.
Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano TCRA itazifunga simu zote ambazo zitakuwa hazijasajiliwa.
Ili kuweza kusajiliwa inambidi mhusika kutoa alama za vidole na baada ya hapo kuweza kufuatiliwa na kubaini ni yupi mtumiaji sahihi wa kampuni ipi ya simu.
Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 Januari mwaka 2020 mtu yeyote ambae atatumia simu yake ya mkononi atakuwa ni yule tu ambae amesajiliwa na TCRA.
Je, huo ndo utakuwa mwisho wa habari za uzushi mitandaoni?
Au ndo utakuwa mwanzo wa kuwadhibiti wale wote ambao wanatumia simu zisizosajiliwa?
Twitter inategemea "data/internet" na siyo laini ya simu
Ukiangalia ugumu wa uandikishaji na kupata kadi za Uraia (NIDA) na tangazo la kutotambua namba ambazo zitakuwa hazija tambuliwa kwa alama za vidole ndio utagundua kukosekana kwa uiano wa mambo hayo na uzembe wa serikali.
Wajuzi wa siasa za nchi yetu na mfumo wa "anzisha tatizo kisha tatua" wameshaona kuwa hiki ndio kinachofuata.
Baada ya mawaziri na kampuni za simu kutumika kutangaza kuwa baada ya tarehe 31/12 simu ambazo bado zitasitishwa sasa ni wakati wa kumuinua mkuu akitoka likizoni na tamko kuu kwamba "hakuna kufungia simu mpaka NIDA wamalize zoezi, mtatesa wananchi".
Kisha watu watashangilia sana na kumuita jembe na kiongozi wa wanyonge. TARGET 2020.
ANZISHA TATIZO KISHA TATUA
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa.
Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa.
Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano TCRA itazifunga simu zote ambazo zitakuwa hazijasajiliwa.
Ili kuweza kusajiliwa inambidi mhusika kutoa alama za vidole na baada ya hapo kuweza kufuatiliwa na kubaini ni yupi mtumiaji sahihi wa kampuni ipi ya simu.
Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 Januari mwaka 2020 mtu yeyote ambae atatumia simu yake ya mkononi atakuwa ni yule tu ambae amesajiliwa na TCRA.
Je, huo ndo utakuwa mwisho wa habari za uzushi mitandaoni?
Au ndo utakuwa mwanzo wa kuwadhibiti wale wote ambao wanatumia simu zisizosajiliwa?
Hiyo video ina ujumbe ganiNimefatilia namba NIDA kwa muda mrefu, nimerekebisha taarifa zangu nikafatilia tena nikapigwa trh hadi mwakani. Nilipouliza line yangu ikifungwa yule mfanyakaz wa NIDA aka-play video ya mkuu.!
Patiently waiting........
Zikiwa zimebaki siku 4 pekee hadi tarehe ya mwisho wa usajili wa alama za vidole wa simu ifikapo tarehe 31/12/2019 ufike, watu wengi kwa mamilioni wakiwa hawajasajiliwa, huku TCRA ikisisitiza kuwa line zote ambazo hazitasajiliwa kwa alama za vidole zitazimwa rasmi
Nitoe rai yangu kwa TCRA kuwa ni vyema wakaongeza muda wa usajili wa line hizo, kwa kuwa wananchi wana nia ya kusajili line zao kwa alama za vidole, lakini inajulikana wazi kuwa NIDA ndiyo kikwazo cha usajili wa line hizo kwa namna wanavyofanya kazi yao kwa "ugoigoi" mkubwa, hadi kusababisha watu wengi kwa mamilioni wakiwa bado hawajajiandikisha hadi kufikia ldeo
Tutambue pia kuwa hicho kitambukidho cha Taifa upatikanaji wake inatakiwa uangalifu mkubwa na ni nyeti sana ili wasijipenyeze watu ambao siyo raia wakajiandikisha na kupata uraia wa nchi hii pasipo uhalali
Vile vile lazima TCRA wazingatie kuwa mapato ya hizo kampuni za simu yataathirika sana, kutokana na kuzizima line zote ambazo hazijapata usajili hadi kufika tarehe hiyo ambayo TCRA wanatwambia kuwa ndiyo mwisho wa kusajili line zetu
Kwa hiyo ni muhimu hao TCRA wakazingatia maombi yetu watumiaji wa simu, kama kweli wanazingatia huduma bora kwa mteja, kwa kutuongezea muda wa kusajili line zetu
Tamko la kutofunga line za Simu ambazo hazijasajiriwa Raisi wa Wanyonge alisha litoa miezi Kama 4 iliyopita Kama sijakosea!Ukiangalia ugumu wa uandikishaji na kupata kadi za Uraia (NIDA) na tangazo la kutotambua namba ambazo zitakuwa hazija tambuliwa kwa alama za vidole ndio utagundua kukosekana kwa uiano wa mambo hayo na uzembe wa serikali.
Wajuzi wa siasa za nchi yetu na mfumo wa "anzisha tatizo kisha tatua" wameshaona kuwa hiki ndio kinachofuata.
Baada ya mawaziri na kampuni za simu kutumika kutangaza kuwa baada ya tarehe 31/12 simu ambazo bado zitasitishwa sasa ni wakati wa kumuinua mkuu akitoka likizoni na tamko kuu kwamba "hakuna kufungia simu mpaka NIDA wamalize zoezi, mtatesa wananchi".
Kisha watu watashangilia sana na kumuita jembe na kiongozi wa wanyonge. TARGET 2020.
ANZISHA TATIZO KISHA TATUA
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina likiwa limekosewa kidogo? Kwa nini likosewe kidogo? Jina likiandikwa kwa tofauti ya herufi moja tu ni kosa! Kila siku huwa tunasema hapa watanzani kuweni makini. Unakuta mtu anaandika Magufuri badala ya Magufuli na ukimwambia ni kosa anatukana!Voda nao ndiyo wasumbufu kwenye usajili wa line. Jina likiwa limekosewa kidogo tu inakuwa shida.
Sasa unajiuliza line imesajiliwa ama lah. Unaenda na ID yako ya nida ili uisajili line wanakwambia majina yanatofautiana. Kwa kulinganisha na nini wakati ndiyo kwanza mnafanya usajili.
Vodacom muache usumbufu kwa wateja. Wenzenu upande wa pili hawana usumbufu usio walazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa mada,kama unafanya usajili maana yake ni kurekebisha hayo makosa. Ndiyo maana unapofanya usajili huandiki majina upya isipokuwa yanakuja moja kwa moja kama yalivyo katika NIDA ID.Jina likiwa limekosewa kidogo? Kwa nini likosewe kidogo? Jina likiandikwa kwa tofauti ya herufi moja tu ni kosa! Kila siku huwa tunasema hapa watanzani kuweni makini. Unakuta mtu anaandika Magufuri badala ya Magufuli na ukimwambia ni kosa anatukana!
Umejigonga kwenye maelezo yako. Wewe umesema ''jina likikosewa kidogo''. Ndiyo maana nikauliza kwa nini likosewe?Elewa mada,kama unafanya usajili maana yake ni kurekebisha hayo makosa. Ndiyo maana unapofanya usajili huandiki majina upya isipokuwa yanakuja moja kwa moja kama yalivyo katika NIDA ID.
Tofauti na zoezi la kipindi cha nyuma. Ndiyo maana inabidi kusiwe na usumbufu kwa wateja kwa hizo tofauti maana tuachoamini line tunazotumia hazina usajili.
Sent using Jamii Forums mobile app
TBC wanaweka kibwagizo cha katazo la kufungia line lililotolewa na Mh Rais. wakati NIDA ndiyo wanashida na sio wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa.
Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa.
Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano TCRA itazifunga simu zote ambazo zitakuwa hazijasajiliwa.
Ili kuweza kusajiliwa inambidi mhusika kutoa alama za vidole na baada ya hapo kuweza kufuatiliwa na kubaini ni yupi mtumiaji sahihi wa kampuni ipi ya simu.
Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 Januari mwaka 2020 mtu yeyote ambae atatumia simu yake ya mkononi atakuwa ni yule tu ambae amesajiliwa na TCRA.
Je, huo ndo utakuwa mwisho wa habari za uzushi mitandaoni?
Au ndo utakuwa mwanzo wa kuwadhibiti wale wote ambao wanatumia simu zisizosajiliwa?
Tamko la kutofunga line za Simu ambazo hazijasajiriwa Raisi wa Wanyonge alisha litoa miezi Kama 4 iliyopita Kama sijakosea!
Habari feki asilimia 95 vyanzo vyake ni mitandao ya kijamii...sio simu.Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa.
Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa.
Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano TCRA itazifunga simu zote ambazo zitakuwa hazijasajiliwa.
Ili kuweza kusajiliwa inambidi mhusika kutoa alama za vidole na baada ya hapo kuweza kufuatiliwa na kubaini ni yupi mtumiaji sahihi wa kampuni ipi ya simu.
Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 Januari mwaka 2020 mtu yeyote ambae atatumia simu yake ya mkononi atakuwa ni yule tu ambae amesajiliwa na TCRA.
Je, huo ndo utakuwa mwisho wa habari za uzushi mitandaoni?
Au ndo utakuwa mwanzo wa kuwadhibiti wale wote ambao wanatumia simu zisizosajiliwa?
MPUUZI huyo Mkuu, asikuumize kichwa. Ma CCM hovyo kabisa.Elewa mada,kama unafanya usajili maana yake ni kurekebisha hayo makosa. Ndiyo maana unapofanya usajili huandiki majina upya isipokuwa yanakuja moja kwa moja kama yalivyo katika NIDA ID.