Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Hii ndio uozo mwingine wa taasisi za serikali nchini.
Ona hawa TCRA. Wana page kwenye website yao kwamba ikiwa una malalamiko dhidi ya kampuni yeyote ya mawasiliano nchini basi watumie ujumbe kupitia page hii hapa chini.
Sasa uozo uliopo ni kwamba wao wenyewe hii page yao ipo kama pambo, haifanyi kazi
Wako makini kutafuta hotuba na maandishi ya kuikosoa serikali na sio kuona Watanzania wakipata huduma bora kutoka kampuni za mawasiliano!