TCRA Mjibuni Asha Baraka, alifanya maombi ya leseni ya redio hajajibiwa hadi leo

TCRA Mjibuni Asha Baraka, alifanya maombi ya leseni ya redio hajajibiwa hadi leo

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, tunawaomba jitokezeni na kumjibu mteja wenu aliyeomba leseni ya kumiliki kituo cha redio, kwa masikitiko makubwa hakujibiwa zaidi ya kuzungushwa kutokupewa sababu ya kunyimwa.

Akihojiwa kwenye kipindi cha The Classic kinachorushwa na kituo cha EFM 93.7 Mhz Asha Baraka, Mkurugenzi wa ASET Group alisikika akisema, "Aliomba leseni ya kumiliki redio, mbali ya kutokupewa jibu lolote, faili lake lilikuwa linageuzwa kama chapati" aliendelea kusema "Kuna waliokuwa wanasema. Huyu mwanamke anaomba leseni ya redio....." mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom