Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga
Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
Asha Baraka leo Jumatano amerejesha fomu ofisi za CCM Makao Makuu Dodoma ya kugombea katika makundi maalum kitaifa kupitia taasisi zisizo za kiserikali (NGO’s) kwa nafasi za UWT Tanzania Bara.
Asha Baraka alichukua fomu hiyo jana Jumanne Julai Mosi, 2025 ambayo alikabidhiwa na Katibu wa Umoja...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, tunawaomba jitokezeni na kumjibu mteja wenu aliyeomba leseni ya kumiliki kituo cha redio, kwa masikitiko makubwa hakujibiwa zaidi ya kuzungushwa kutokupewa sababu ya kunyimwa.
Akihojiwa kwenye kipindi cha The Classic kinachorushwa na kituo cha EFM 93.7 Mhz Asha...
Mkurugenzi wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', ambaye pia ni Mjumbe wa Nec CCM, Asha Baraka, akiwaka wakati akizungumza na mtandao huu jana jioni alipokuwa akisimamia zoezi la kuwazuia wabomoaji kutobomoa nyumba na vibanda vya wananchi katika eneo hilo la Hanansifu bila kufikia muafaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.