Asha Baraka aomba Simba ipewe uwanja kama ilivyopewa Yanga. Hivi haya ndio mahitaji ya Watanzania wabunge wanayojadili?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga

Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM?

Sio sababu ya kuwa na bunge maana halina msaada wowote kwa watanzania zaidi ya wendawazimu tu unaondelea huko.

Halafu wabunge wa viti maalumu sijui kwa nini bado wapo mpaka leo, Tukupata katiba mpya huu upuuzi uondoke
 
View attachment 3572698

Eeh huyo naye kawa mabunge?
 
Leo ndo najua Asha Baraka ni Mbunge. Hii nchi ni channel ya comedy hakika. Asha Baraka???
 
Huku Asha Baraka anatema pumba, ukigeuka kule Wanu anasoma hotuba kwa kubabaika kama anajifunza kusoma kupitia kitabu pendwa cha “Soma kwa hatua”.

ukinyamaza kidogo unasikia “Wabunge tuwe na bendi yetu” wakati unatafakari mambo mara unasikia “Mchengerwa achaguliwa kuwa mbunge bora”

Wajinga sisi🥶🥶🥶
 
Asha Baraka angebakia tu kwenye bendi yake ya Twanga Pepeta ili aendelee kutupatia burudani. Huko bungeni hakutakiwa kabisa kwenda kutokana na kukosa sifa kama ilivyo kwa wenzake wengine.
 
Back
Top Bottom