LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Laiti madereva barabarani wangekuwa wanafungiwa baada ya kutenda makosa basi gari zingekuwa zinahesabika humu barabarani
Ifike mahali TCRA ijikite kutoa adhabu kwa kupiga faini ndefu na kufungia baadhi ya wanaovunja sheria kutojihusisha na kazi fulani kwa miezi kadhaa kuliko kufungia taasisi nzima ambapo kunawaathiri hata wasio husika
Piga mtu faini ya milioni kadhaa adabu itakuwepo na muwaweke chini ya uangazili lakini kuifungia taasisi nzima kwa miezi sita hakusaidii kitu sana sana kukomoana tu na kufunga ajira za watu ambao wengine hata hawakuhusika ifike mahali TCRA ipige rungu kiakili ili kutoathiri ajira za Watanzania na kuhakikisha serikali bado inapata mapato yake lakini sio kufungiana ndani hapa wanakosea
Ni heri mngewapiga faini hata milioni 30 wangelipa mjenge madarasa watoto wasome kuliko kuifungia taasisi nzima kwa miezi sita, hapo mnauwa ajira na mnaikosesha serikali mapato yake, wekeni mfumo wa kupiga faini ndefu kulingana na kosa na kufungia baadhi ya watu waliohusika mziumize taaisisi nzima hapo mnakosea