TCRA mmepata faida gani kuifungia JamiiForums? Acheni kuwa na maamuzi ya mihemuko

TCRA mmepata faida gani kuifungia JamiiForums? Acheni kuwa na maamuzi ya mihemuko

Bonge wa Zimbabwe mwenyewe alipost picha akiwa na Mama.

Rostam alikiri kununua mgodi wa makaa ya mawe.

Tulitumia Vpn na tukawa tunaingia bila tatizo Jamii forum.

Vpn ni salama zaidi kuliko hata hivi mlivyofungua.
Maagizo toka kwa dull
 
JF watulinde kama watavamia tena id zetu zikawa exposed
Tumekwisha!
wale viazi wa TCRA hawawezi kufanya hivyo! Hata hivyo sisi wengine hawawezi kututrack wakatupata! Mi niko makini sana tena zaidi ya sana!
 
Kwakweli kufungiwa kwa mtandao wetu pendwa jamiiforum. Binafsi iliniathiri sana
 
Back
Top Bottom