Barn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 2,734 Reaction score 4,042 Mar 5, 2018 #1 Huu wimbo hauna maadili kabisa Siufahamu jina Ila hii ni baadhi ya mistari take; " acha waisome nambaa eeeh" "Hutunywi sumu hatujinyongi" "Na wavimbe wapasuke"
Huu wimbo hauna maadili kabisa Siufahamu jina Ila hii ni baadhi ya mistari take; " acha waisome nambaa eeeh" "Hutunywi sumu hatujinyongi" "Na wavimbe wapasuke"
Ndalilo JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 3,343 Reaction score 7,516 Mar 5, 2018 #2 Maadili ni nini?
A Angelo007 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 1,846 Reaction score 1,363 Mar 5, 2018 #3 Siwapendi wakoloni weusi ccm ila hiyo sio kazi ya tcra bali basata
Barn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 2,734 Reaction score 4,042 Mar 5, 2018 Thread starter #4 Ndalilo said: Maadili ni nini? Click to expand... Ni mafundisho yanayotolewa katika nafasi mbalimbali, hasa katika malezi, ili kuelekeza binadamu atende namna ambayo inamjenga yeye na jamii nzima.
Ndalilo said: Maadili ni nini? Click to expand... Ni mafundisho yanayotolewa katika nafasi mbalimbali, hasa katika malezi, ili kuelekeza binadamu atende namna ambayo inamjenga yeye na jamii nzima.
Barn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 2,734 Reaction score 4,042 Mar 5, 2018 Thread starter #5 Angelo007 said: Siwapendi wakoloni weusi ccm ila hiyo sio kazi ya tcra bali basata Click to expand... Sawa mkuu
Angelo007 said: Siwapendi wakoloni weusi ccm ila hiyo sio kazi ya tcra bali basata Click to expand... Sawa mkuu
lossoJR JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 2,711 Reaction score 2,384 Mar 5, 2018 #6 Barn said: Huu wimbo hauna maadili kabisa Siufahamu jina Ila hii ni baadhi ya mistari take; " acha waisome nambaa eeeh" "Hutunywi sumu hatujinyongi" "Na wavimbe wapasuke" Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji112]
Barn said: Huu wimbo hauna maadili kabisa Siufahamu jina Ila hii ni baadhi ya mistari take; " acha waisome nambaa eeeh" "Hutunywi sumu hatujinyongi" "Na wavimbe wapasuke" Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji112]
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 Mar 6, 2018 #7 TCRA ? aise bora ungesema TRA. TCRA Ok sawa,hata mi nashangaa kwanini wameiacha
Barn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 2,734 Reaction score 4,042 Mar 6, 2018 Thread starter #8 Idd Ninga said: TCRA ? aise bora ungesema TRA. TCRA Ok sawa,hata mi nashangaa kwanini wameiacha Click to expand... Ngoja tuombe mods waedit watuwekee basata
Idd Ninga said: TCRA ? aise bora ungesema TRA. TCRA Ok sawa,hata mi nashangaa kwanini wameiacha Click to expand... Ngoja tuombe mods waedit watuwekee basata