Tcra mmewezaje kuacha wimbo huu bila kuufungia

Tcra mmewezaje kuacha wimbo huu bila kuufungia

Barn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
2,734
Reaction score
4,042
Huu wimbo hauna maadili kabisa

Siufahamu jina Ila hii ni baadhi ya mistari take;

" acha waisome nambaa eeeh"
"Hutunywi sumu hatujinyongi"
"Na wavimbe wapasuke"
 
Siwapendi wakoloni weusi ccm ila hiyo sio kazi ya tcra bali basata
 
Maadili ni nini?
Ni mafundisho yanayotolewa katika nafasi mbalimbali, hasa katika malezi, ili kuelekeza binadamu atende namna ambayo inamjenga yeye na jamii nzima.
 
TCRA ?
aise bora ungesema TRA.
TCRA
Ok sawa,hata mi nashangaa kwanini wameiacha
 
Back
Top Bottom