C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
Mara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na pages zake: ANS, TVO, Celebrity, Advertisement, Marketing and Promotion, C-C Digital Pro, C-C Daily Stories, Asubuhi fm radio online, Jokes and Comedy of Civilian-Coin. Civilian-Coin alipo appeal wamerudisha page Moja (Civilian-Coin) na pages mbili zimewekwa pending for nothing. ACHENI wivu, kuweni wabunifu Kama mmezidiwa ubunifu fungeni ofisi kuliko kublock pages za watu. Pages mnazo block ni za biashara je mtamlipa nini au mnataka tuaibishane. Pia You Tube kwenye account channel ya Civilian-Coin TCRA wame block wimbo whenever wherever remix ya Shakira na Civilian-Coin. Kama haitishi TCRA wimbo touch my body remix wa Mariah Carey na Civilian-Coin wame mute sound kule TikTok na wimbo You are looser wa Civilian-Coin nao wame mute sound. Tatizo liko wapi? Mbona mnatengeneza ubaguzi.
Bado Tena kule Audiomark followers zilikuwa zimeanza kupanda Nako zimepunguzwa bila sababu. Hivi TCRA mnaakiki kweli? Hamuoni mnauua biashara ya mtu.
View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=JNBVjbH1fsjkr_tA
Bado Tena kule Audiomark followers zilikuwa zimeanza kupanda Nako zimepunguzwa bila sababu. Hivi TCRA mnaakiki kweli? Hamuoni mnauua biashara ya mtu.
View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=JNBVjbH1fsjkr_tA