Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Wewe jamaa mbona unamdaliisha mbunge wa shinyanga Deo Kisandu
Naandaa mafaili hapa.secretarybird toa msaada wa kisheria hapa
Nipe hela nianze kuheshimu mtu wa serikaliTuheshimiane.
Niko bize na majukumu ya kiserikali.
Atakuwa kisanduku huyumwamba sana mkwe wa obama.....wasalimie hapo kahama
Na wewe unatutisha bwana li sura gani hilo?Mara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na pages zake: ANS, TVO, Celebrity, Advertisement, Marketing and Promotion, C-C Digital Pro, C-C Daily Stories, Jokes and Comedy of Civilian-Coin. Civilian-Coin alipo appeal wamerudisha page Moja (Civilian-Coin) na pages mbili zimewekwa pending for nothing. ACHENI wivu, kuweni wabunifu Kama mmezidiwa ubunifu fungeni ofisi kuliko kublock pages za watu. Pages mnazo block ni za biashara je mtamlipa nini au mnataka tuaibishane. Pia You Tube kwenye account channel ya Civilian-Coin TCRA wame block wimbo whenever wherever remix ya Shakira na Civilian-Coin. Kama haitishi TCRA wimbo touch my body remix wa Mariah Carey na Civilian-Coin wame mute sound kule TikTok na wimbo You are looser wa Civilian-Coin nao wame mute sound. Tatizo liko wapi? Mbona mnatengeneza ubaguzi.
Bado Tena kule Audiomark followers zilikuwa zimeanza kupanda Nako zimepunguzwa bila sababu. Hivi TCRA mnaakiki kweli? Hamuoni mnauua biashara ya mtu.
View attachment 3623156
Kumbe ndiyo wewe, acha mambo ya kipuuziMara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na pages zake: ANS, TVO, Celebrity, Advertisement, Marketing and Promotion, C-C Digital Pro, C-C Daily Stories, Jokes and Comedy of Civilian-Coin. Civilian-Coin alipo appeal wamerudisha page Moja (Civilian-Coin) na pages mbili zimewekwa pending for nothing. ACHENI wivu, kuweni wabunifu Kama mmezidiwa ubunifu fungeni ofisi kuliko kublock pages za watu. Pages mnazo block ni za biashara je mtamlipa nini au mnataka tuaibishane. Pia You Tube kwenye account channel ya Civilian-Coin TCRA wame block wimbo whenever wherever remix ya Shakira na Civilian-Coin. Kama haitishi TCRA wimbo touch my body remix wa Mariah Carey na Civilian-Coin wame mute sound kule TikTok na wimbo You are looser wa Civilian-Coin nao wame mute sound. Tatizo liko wapi? Mbona mnatengeneza ubaguzi.
Bado Tena kule Audiomark followers zilikuwa zimeanza kupanda Nako zimepunguzwa bila sababu. Hivi TCRA mnaakiki kweli? Hamuoni mnauua biashara ya mtu.
View attachment 3623156