C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
Huko Dodoma?Ndo nani huyu huko kijijini dasalana
Nchi inatakiwa kulea vipaji vya watu na sio kuzima vipaji. Leo hii Marekani inaweza kusimamisha misaada kwa nchi kwa kosa la kuzima vipaji tu. Wenye vipaji ndio wanaosaidia wafadhili kuja nchini na Wala hawaji kwa sababu ya wabunge au mawaziri au system ya Serikali Bali vipaji wanapiviona ndio wanaamua kufadhili nchi. ACHENI wivuNi wivu tu wanakuonea.
Kuna ile video unakwepa magari , ni nani ana uwezo wa kumwepa magar namna ile kama superman.
Wanakuonea sana aisee.
🗣️ Piga kelele wewe kwa Civilian Coin. TCRA achaneni mara moja na huyu Mmarekani. Atawaharibia kwa marafiki zake Donald Trump na Joe Biden.Mara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na pages zake: ANS, TVO, Celebrity, Advertisement, Marketing and Promotion, C-C Digital Pro, C-C Daily Stories, Jokes and Comedy of Civilian-Coin. Civilian-Coin alipo appeal wamerudisha page Moja (Civilian-Coin) na pages mbili zimewekwa pending for nothing. ACHENI wivu, kuweni wabunifu Kama mmezidiwa ubunifu fungeni ofisi kuliko kublock pages za watu. Pages mnazo block ni za biashara je mtamlipa nini au mnataka tuaibishane. Pia You Tube kwenye account channel ya Civilian-Coin TCRA wame block wimbo whenever wherever remix ya Shakira na Civilian-Coin. Kama haitishi TCRA wimbo touch my body remix wa Mariah Carey na Civilian-Coin wame mute sound kule TikTok na wimbo You are looser wa Civilian-Coin nao wame mute sound. Tatizo liko wapi? Mbona mnatengeneza ubaguzi.
Bado Tena kule Audiomark followers zilikuwa zimeanza kupanda Nako zimepunguzwa bila sababu. Hivi TCRA mnaakiki kweli? Hamuoni mnauua biashara ya mtu.
View attachment 3623156
Huyu wakimuwahi anapona kabisaMara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na pages zake: ANS, TVO, Celebrity, Advertisement, Marketing and Promotion, C-C Digital Pro, C-C Daily Stories, Jokes and Comedy of Civilian-Coin. Civilian-Coin alipo appeal wamerudisha page Moja (Civilian-Coin) na pages mbili zimewekwa pending for nothing. ACHENI wivu, kuweni wabunifu Kama mmezidiwa ubunifu fungeni ofisi kuliko kublock pages za watu. Pages mnazo block ni za biashara je mtamlipa nini au mnataka tuaibishane. Pia You Tube kwenye account channel ya Civilian-Coin TCRA wame block wimbo whenever wherever remix ya Shakira na Civilian-Coin. Kama haitishi TCRA wimbo touch my body remix wa Mariah Carey na Civilian-Coin wame mute sound kule TikTok na wimbo You are looser wa Civilian-Coin nao wame mute sound. Tatizo liko wapi? Mbona mnatengeneza ubaguzi.
Bado Tena kule Audiomark followers zilikuwa zimeanza kupanda Nako zimepunguzwa bila sababu. Hivi TCRA mnaakiki kweli? Hamuoni mnauua biashara ya mtu.
View attachment 3623156
Tuheshimiane.Maghayo loose Nut msaidie pacha wako uliyeganaja nae sura mpaka akili
mwamba sana mkwe wa obama.....wasalimie hapo kahamaMara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na pages zake: ANS, TVO, Celebrity, Advertisement, Marketing and Promotion, C-C Digital Pro, C-C Daily Stories, Jokes and Comedy of Civilian-Coin. Civilian-Coin alipo appeal wamerudisha page Moja (Civilian-Coin) na pages mbili zimewekwa pending for nothing. ACHENI wivu, kuweni wabunifu Kama mmezidiwa ubunifu fungeni ofisi kuliko kublock pages za watu. Pages mnazo block ni za biashara je mtamlipa nini au mnataka tuaibishane. Pia You Tube kwenye account channel ya Civilian-Coin TCRA wame block wimbo whenever wherever remix ya Shakira na Civilian-Coin. Kama haitishi TCRA wimbo touch my body remix wa Mariah Carey na Civilian-Coin wame mute sound kule TikTok na wimbo You are looser wa Civilian-Coin nao wame mute sound. Tatizo liko wapi? Mbona mnatengeneza ubaguzi.
Bado Tena kule Audiomark followers zilikuwa zimeanza kupanda Nako zimepunguzwa bila sababu. Hivi TCRA mnaakiki kweli? Hamuoni mnauua biashara ya mtu.
View attachment 3623156
huyu jamaa ni bingwa wa kukwepa mvua piaNi wivu tu wanakuonea.
Kuna ile video unakwepa magari , ni nani ana uwezo wa kumwepa magar namna ile kama superman.
Wanakuonea sana aisee.
Msaidie ndugu yako huyo NyangwisiSAYNGAY