Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA.
Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti.
Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya kuwa huduma hizo wameshaweka ila ukichunguza kama wanabadilisha jina ila kifaa ni kile kile.
Leo nipo porini hapa napafahamu vizuri alafu mtandao unasema 5G wakati hata hiyo huduma inashindwa kufanya chochote.