TCRA mulikeni Vodacom, wateja tunapigwa

TCRA mulikeni Vodacom, wateja tunapigwa

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Kuna mambo hayako sawa: Naomba mchunguze haya:

1. Gharama za kutuma na kutoa fedha,ziko juu sanaa, ndvyo hivyo kama Serikali mlikubaliana?

2. Gharama ya kuhamisha miamala kutoka benki kwenda M- Pesa. Iko juu na hutozwa double!

3. Kukatwa fedha bila maelezo hasa unaporwcharge voucher! Mfano; Unaweka vocha ya Tsh 500,unapojiunga kifurushi chake unapata msg salio halitoshi,ukicheki salio unakuta zimebaki 400 au 300 tuu.

4. Kulazimisha kuingia michezo ya kipuuzi ya kubahatisha. Mfano Tusua Mapene, kwangu huu ni aina ya uhujumu uchumi na uonevu kwa wateja. Futeni hii michezo,vijana wanaharibiwa mindsets zao.

Nchi yetu bado ni ya Siasa za Ujamaa na Kujitegemea ( Katiba ya Nchi ya 1977), tuchujeni mambo ya kukisaidia Taifa na vijana wetu.

Ninarudia, niombe TCRA mmulike hayo mambo, yanaumiza jamii.
 
Hiyo ya kukatwa katwa vocha jitahidi uwe unajiunga kupitia M-pesa,nililalamika sana but hawa wajinga ukiwapigia uongee na customer care unajikuta unatakiwa ukifanye kile mashine zinavyokuelekeza tofauti na hivyo hakuna msaada.

Wajinga sana hawa jamaa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mr Misifa,
Naanza kupata ufahamu. Ukiona jambo halifanyiwi kazi hata unapolalamika ujue kuna mshikamano kimaslahi! Hii ni hatari sana.
 
Mleta mada ubarikiwe!!
Naomba TCRA mulikeni hawa Voda ni wezi pure.
Kama hampewi bahasha basi shughulika na hawa wezi.
Kama hamshughuliki nao tunaomba Waziri muhusika
APAMBANE NA HAWA WEZI.
HELA YA MUDA WA MAONGEZI WANACHUKUA KAMA YAO.
NILIHAMISHA FEDHA TOKA M-PESA KWENDA TIGO WAKACHUKUA.
HAWATAKI KUONGEA NA WATEJA, WAMEKUWA WEZI JUMLA!!
TUNAOMBA MSAADA!!
 
Sio Vodacom tu ata tigo ni wazushi mno bando za kipuuzi dk mbili zimeisha ukisafiri ndo kero kabisa ukifika kibaha tu mnara unapanda unashuka ata apa dar kuna baadhi ya maeneo mnara unazngua ukiingia net hau enjoy kabsa yn inakera sana ofcz kwa Tz hii cjaona bdo kampuni ya simu ya kujisifia
 
Karibuni Halotel. Sisemi wako vizuri, ila wanajitahidi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Yah me mwnyw nna mpango huo halotel kdg afazar ata ukisafiri mitandao yote mnara chini wny halotel tu ndo wanatesa wengine wote tunawatia mashaka jamaa na marafiki
 
Mleta mada ubarikiwe!!
Naomba TCRA mulikeni hawa Voda ni wezi pure.
Kama hampewi bahasha basi shughulika na hawa wezi.
Kama hamshughuliki nao tunaomba Waziri muhusika
APAMBANE NA HAWA WEZI.
HELA YA MUDA WA MAONGEZI WANACHUKUA KAMA YAO.
NILIHAMISHA FEDHA TOKA M-PESA KWENDA TIGO WAKACHUKUA.
HAWATAKI KUONGEA NA WATEJA, WAMEKUWA WEZI JUMLA!!
TUNAOMBA MSAADA!!
Voda kiboko wamemuibia mpk waziri mwakyembe [emoji23][emoji23]
 
HALOTEL HAWAKATI SALIO MPAKA WAKUPE TAARIFA , KAMA MB ZIMEBAKI 5 UNAPEWA TAARIFA, KAMA ZINAKARIBIA KUISHA TAARIFA,KAMA WANAKUDAI NA UMEWEKA SALIO HAWAKATI MPAKA DAKIKA 5 ZIPITE UJAJIUNGA,UTUMAJI PESA GHARAMA NAFUU SANA SANA, UNAWEZA KOPA DABO DABO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo hayako sawa: Naomba mchunguze haya:
1. Gharama za kutuma na kutoa fedha,ziko juu sanaa, ndvyo hivyo kama Serikali mlikubaliana?
2. Gharama ya kuhamisha miamala kutoka benki kwenda M- Pesa. Iko juu na hutozwa double!
3. Kukatwa fedha bila maelezo hasa unaporwcharge voucher! Mfano; Unaweka vocha ya Tsh 500,unapojiunga kifurushi chake unapata msg salio halitoshi,ukicheki salio unakuta zimebaki 400 au 300 tuu.
4. Kulazimisha kuingia michezo ya kipuuzi ya kubahatisha. Mfano Tusua Mapene, kwangu huu ni aina ya uhujumu uchumi na uonevu kwa wateja. Futeni hii michezo,vijana wanaharibiwa mindsets zao.
Nchi yetu bado ni ya Siasa za Ujamaa na Kujitegemea ( Katiba ya Nchi ya 1977), tuchujeni mambo ya kukisaidia Taifa na vijana wetu.
Ninarudia, niombe TCRA mmulike hayo mambo, yanaumiza jamii.
Hao TCRA wanafanya kazi pale mzee meko anapo semwa, hayo mambo ya wizi wa voda hayahusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCRA,SUMATRA huwa hawashughuliki na hizi kero maana huko kuna maslahi yao makubwa,ma dala dala walio wekeza huko NI watu wa SUMATRA ndio maana nchi hii sahau kuhusu level siti au kero za usafiri wakati wa jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tushauri ni nini kifanyike? Mtu mmoja akikatw kitapeli tsh 100 kama ni multiples kwa watumiaji 25 million ni kwa nini TCRA, Waziri muhusika hawalioni kama ni aina ya Uhujumu Uchumi kama ule wa Bana mdogo Kabendera? Au kwa vile kuna mutual benefits within the members of a whole set?,
 
Back
Top Bottom