Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia TGO acha kulialia we huelew Maana ya biashr ni ushndanKuna mambo hayako sawa: Naomba mchunguze haya:
1. Gharama za kutuma na kutoa fedha,ziko juu sanaa, ndvyo hivyo kama Serikali mlikubaliana?
2. Gharama ya kuhamisha miamala kutoka benki kwenda M- Pesa. Iko juu na hutozwa double!
3. Kukatwa fedha bila maelezo hasa unaporwcharge voucher! Mfano; Unaweka vocha ya Tsh 500,unapojiunga kifurushi chake unapata msg salio halitoshi,ukicheki salio unakuta zimebaki 400 au 300 tuu.
4. Kulazimisha kuingia michezo ya kipuuzi ya kubahatisha. Mfano Tusua Mapene, kwangu huu ni aina ya uhujumu uchumi na uonevu kwa wateja. Futeni hii michezo,vijana wanaharibiwa mindsets zao.
Nchi yetu bado ni ya Siasa za Ujamaa na Kujitegemea ( Katiba ya Nchi ya 1977), tuchujeni mambo ya kukisaidia Taifa na vijana wetu.
Ninarudia, niombe TCRA mmulike hayo mambo, yanaumiza jamii.