Pre GE2025 TCRA: Mwandishi anayetaka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi

Pre GE2025 TCRA: Mwandishi anayetaka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii iende hadi kwa Mawakili. HAIWEZEKANI mtu aende mahakamani kama Afisa wa Mahakama Kuu, halafu eti ni Kiongozi wa Chama cha Siasa. Si sawa kabisa!
kama ni serikali sawa, sheria za utumishi zinataka hivyo ila private anarusiwa hafungwi za upande wowote
 
Hizo taratibu mtawawekea watu wasiojitambua tu kama hao waandishi wa habari na walimu.

Wanasheria ni wasomi hasa na wanajitambua kamwe huwezi kuwawekea taratibu za kindezi namna hiyo na wakakubali.
Kwa taarifa yako, katika taaluma bogus ya uongozi, Uwakili unaongoza.
 
Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Andrew Kisaka amesema kuwa ikiwa mwandishi wa habari anataka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi, na ikatokea hakuchaguliwa, anaweza kurejea tena kwenye kazi yake ya uandishi kwa mujibu wa taratibu za mwajiri wake wa awali.

Pia soma > Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?

Huu ni uchizi mkubwa sana, je, hao waandishi wamesajiriwa, wana ithibati za vyeti certifications? Je, wasio na sifa za uandishi wa habari hawapo kwenye Vyombo vya habari hao mnawaitaje?
 
Back
Top Bottom