Pre GE2025 TCRA: Mwandishi anayetaka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii iende hadi kwa Mawakili. HAIWEZEKANI mtu aende mahakamani kama Afisa wa Mahakama Kuu, halafu eti ni Kiongozi wa Chama cha Siasa. Si sawa kabisa!
kama ni serikali sawa, sheria za utumishi zinataka hivyo ila private anarusiwa hafungwi za upande wowote
 
Hizo taratibu mtawawekea watu wasiojitambua tu kama hao waandishi wa habari na walimu.

Wanasheria ni wasomi hasa na wanajitambua kamwe huwezi kuwawekea taratibu za kindezi namna hiyo na wakakubali.
Kwa taarifa yako, katika taaluma bogus ya uongozi, Uwakili unaongoza.
 
Huu ni uchizi mkubwa sana, je, hao waandishi wamesajiriwa, wana ithibati za vyeti certifications? Je, wasio na sifa za uandishi wa habari hawapo kwenye Vyombo vya habari hao mnawaitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…