dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Hakuna mtu timamu aliyeko ccm kwa dhati, mark my wordsWapo wanaoipenda CCM. Besides, kila mtu ana haki ya kuchagua chama akipendacho.
Wapi hapo wamesema kuwa hawakutumii jambo moja kwa moja mpaka wewe ukubaliane nao? unapoona tangazo facebook kuhusu kampuni flani unakuwa umekubaliana nao hao wenye kampuni wakuoneshe?Wewe ndio una kelele hutaki kuelewa siku zote haya makapuni hawakutumii jambo mojakwa moja mpaka wewe ukubaliane iweje wanitumie wanasiasa. Shida sio kusoma, shida why wa force kwa watu, hebu kuwa muelewa, Kwanza usinichoshe Mimi, mfyuuuuu
Hata na wao wana CCM wanaona hakuna aliekuwa timamu alieko CDM au ACT kwa dhati.Hakuna mtu timamu aliyeko ccm kwa dhati, mark my words
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nimeongea uhalisia wangu wewe unanilazimisha nikubaliane nayo wewe vepee.Wapi hapo wamesema kuwa hawakutumii jambo moja kwa moja mpaka wewe ukubaliane nao? unapoona tangazo facebook kuhusu kampuni flani unakuwa umekubaliana nao hao wenye kampuni wakuoneshe?
Mpaka sasa umekuwa unaongea kwa vile unavofikiri tu ila kiushahidi huna kimoja 😀 Nimekuletea hapo mfano wa Tigo, sasa nioneshe hapo wapi wameandika kuwa watashare info zako kwa consent yako?
Kwa nani sasa mkuu? Kesi ya nyani.....Dawa ni kwenda kuwashitaki.
hta kura wanajua wafanye nini...nyinyi piheni makelele kwenye mtandao...hata wote mpigie chadema cc watashindaHuyu John Kwanza ni nani?
😂😂😂Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Mbona suzan lyimo wa chadema ubungo anafanya hayo hayo??
Ila sikushindi upumbavu.Una Upumbavu sana wewe Mtu [emoji34][emoji34][emoji35][emoji35]
Ninakubaliana nawe juu ya hili.
Lakini kuna shida juu ya huyo mwenye "heshima na unyeyekevu".
Je ujumbe wake huu watu wanaoupokea hawaoni kuwa una udanganyifu; na kama wakiona ni hadaa na ulaghai, ujumbe huo utakuwa umetimiza lengo lake?
Inawezekana sana huu ujumbe ukawa na matokeo hasi.
Dogo hiyo ni biashara matangazo hayo yamelipiwa kama unavyoona matangazo ya kwenye tv. hutaki jitoe kwenye mitandao hiyoHuu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.
Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Kwa hiyo ukiona tangazo la pepsi kwenye tv wewe unafanyaje?Huko ni kuingilia uhuru wa watumiaji wa simu, wanajua kabisa wateja wao watakuwa na itikadi tofauti kwanini watume meseji za kumpigia kampeni mgombea wa CCM?
Kuna wajinga watasema ni haki yao kwasababu CCM wamelipia, watambue CCM wamewalipa hao wenye makampuni ya simu hawajawalipa watumiaji, haya mambo ya kujipendekeza kwa CCM yakome, wanastahili kushtakiwa.
Susieni basi! Si Viongozi wenu wakiwemo kina Lisu wakihamasisha msusie lain za voda?Kateka makampuni ya simu ili yatoe database ya wateja wao kisha watawanye pop up messages...ni kosa kwa mujibu wa sheria .Natamani Lissu apige mkwara haya makampuni.
Kuwa CDM au ACT ni mapenzi ya dhati ya mtu kwani hakuna kunufaika huko tofauti na CCM, CCM wanapesa mpaka za kuwanunua wapinzani kitu ambacho chdema hawawezi fanya hata kama wakiamuaHata na wao wana CCM wanaona hakuna aliekuwa timamu alieko CDM au ACT kwa dhati.