dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Watanzania wa mitandaoni wanambwembwe sana. Wanaosema watashtaki tutawakumbusha baada ya mwaka mtupe mrejesho wa kesi zenu.
Kama walishindwa kushtaki wanaokatwa na HESLB 15% zaidi walitupigia makelele na story humu JF mpaka leo kimya.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app