Utawala huu siyo tu vyombo vya habari bali ni hata individuals wanaogopa, na kama hujui hiyo ni dalili ya kuongozi kuwa dikteta. Ulisikia kauli ya slowslow baada ya Ponda kumuunga mkono Mh Lissu?vyombo sio kwamba vinashindwa kumuunga mkono, shida ni jamaa mwenyewe na relationship alionayo, unadhan kuna watu wameshindwa kwa moyo wote kumsaidia jamaa? ina maaana hata mbowe mwenyewe ataendelea kumkimbia lissu mpaka lini sasa au nae anaogopa?
-kingine nadoubt sana jinsi anavoshirikiana na wadau wenzake wa chadema, ikumbukwe tu kura za awali nakumbuka alishinda nyalandu
Utawala huu siyo tu vyombo vya habari bali ni hata individuals wanaogopa, na kama hujui hiyo ni dalili ya kuongozi kuwa dikteta. Ulisikia kauli ya slowslow baada ya Ponda kumuunga mkono Mh Lissu?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Msaada katika Hilo.Kwani wale wanaotuma zile jumbe kama "Ile pesa itume kwenye namba hii" nao hupewa namba na hao TCRA pamoja na makampuni ya simu? Ujumbe upi ni bora?
Sheria zetu kwa kawaida haziku ruhusu,ubaguzi,Ila hizi za mwendokasi/hati za dharura sijui,nifahamishwe kwa mjuzi was Mambo haha.kwa kuongezea kibaya zaidi, inaonekana institution nyingi haziko tayar kutawaliwa na chadema, ina maaana hata kama akichaguliwa kuna watu watamfanyia figisu kwenye serikali yake kwa sababu kuna watu ndan ya serikali simply hawampendi, tuseme uchaguzi huu chadema hawajapewa contribution ya kutosha kutoka vyombo vinavohusika, hata NEC yenyewe kwa upande flan washaona cdm ni kopo, na mashirika mengine kama TBC ingawa mbowe alikuja kuwaomba raadhi lakini mjirekebishe, bila kusahau polisi! upinzani uliopita ukiachana na kua hawapo ccm walipewa nguvu sawa, mfano kurusha matangazo yao, na hawakuwekewa vikwazo vyovyote ingawa kule kupigana pigana palikuepo na ikachangia ccm kugawanyika!! kwa politics zenu nadhan mjirekebishe
Of course dini na siasa si vizuri kuviunganisha/changanya, vp ulimsikia yule bhna wa kusini(Bakwata) Au yeye hukupata taarifa zake mkuu?yaani nmetoka kuangalia vvideo ya ponda akiwa sjui hai na dogo mdomo, sasa izo comment ndo kaharibu kabisa, kaanza kuingiza uisllam kwenye siasa ,
aisee comment za youtube nadhan waislam wenzake watamuuaOf course dini na siasa si vizuri kuviunganisha/changanya, vp ulimsikia yule bhna wa kusini(Bakwata) Au yeye hukupata taarifa zake mkuu?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Umepatwa na nini mbona kwa sasa umeamua kusimamia ukweli??aisee comment za youtube nadhan waislam wenzake watamuua
Umepatwa na nini mbona kwa sasa umeamua kusimamia ukweli??
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mungu atusaidieDaaah wamefika huko mbona sarakasi nyingi hivyo mwaka huu