Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Haiwezi kiwa maisha yangu. Hata isipokuwepo mi naishi tu kiroho safi. Nilishavuka stage ya utegemezi wa mfumo

kama haupo lockdown basi ccm ndo maisha yako, we ni shabiki wa ccm,

Ingekua unakubaliana na upizani ungekua lockdown saaahv
 
Neno ccm nilisha li block kupitia antivirus, meseji yeyote itakayothubutu kuingia kwenye simu yangu inafanyiwa scanning kwanza

Kama kuna neno CCM antivirus ina detect kua ni trojan malicious na haraka meseji hiyo inafutwa kabla hata sijaiona
 
Uko lockdown?
 
Ikisemwa CCM na Serikali yake jua nimesemwa tu na Mimi GENTAMYCINE ambaye ni Shabiki Mwandamizi wa CCM na Rais Mtarajiwa Dkt. Magufuli.
Hahaha sawa mkuu. Kwa hiyo tuisemee mazuri yake tu.
 
Kuwa mpole
JPM ataendelea tu
Mimi sina shida na JPM mbona. Kafanya mazuri mengi sana.
Sema tu kama Hashim Rungwe akishinda kihalali apewe kijitu tu. Watu tule ubwabwa.
 
Pole sana, FYI mimi sifungamani na chama... kama ungelikuwa unaiona michango kwenye suala la siasa ungeelewa. Sina ule ujinga kuwa eti CCM imejenga barabara mtaani kwetu nisishukuru kwa sababu tu mie chama fulani 😀
Unashukuru nini wakati unatoa kodi, au unafikiri ni hisani?? Machizi nchi hii hawaishi aisee

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Na hizi za TAMISEMI nazo vp?
Screenshot_20201019-100016_Messages.jpg
 
Hahaha sawa mkuu. Kwa hiyo tuisemee mazuri yake tu.
Tukimkosoa basi tufanye hivyo kwa 'Kumjenga' na siyo 'Kumsiliba' kama vile Yeye ndiyo 'Mkosaji' Mkuu na mwenye 'Mapungufu' pekee hapa Nchini.
 
Back
Top Bottom