Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Huko ni kuingilia uhuru wa watumiaji wa simu, wanajua kabisa wateja wao watakuwa na itikadi tofauti kwanini watume meseji za kumpigia kampeni mgombea wa CCM?

Kuna wajinga watasema ni haki yao kwasababu CCM wamelipia, watambue CCM wamewalipa hao wenye makampuni ya simu hawajawalipa watumiaji, haya mambo ya kujipendekeza kwa CCM yakome, wanastahili kushtakiwa.
1603037847705.png

 
Huwa mnasema fine prints wakati wa kujiunga ni mitandao hii!? Sasa niwaondoe shaka haya ndio vigezo na masharti yanazingatiwa.

Nyie wenyewe mmeamua kukubali kupokea promotion kutoka kwa service provider.

Mie mwenyewe nikiamka napokea jumbe za voda kuhusu vifurushi nakereka ila nilikubali... Na wafanya biashara wanaweza kununua huduma hii ya bulk SMS.. kama CCM walivyofanya. Kutumia miundombinu uliopo... Hakuna Kesi na hakutakuwa na Kuomba samahani maana hakuna Kosa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
IMG_6777.jpg

huyu leo jioni amenipigia simu anadai yeye ni afisa wa huduma ya wateja kampuni ya Tigo,alipojitambulisha tu nikamwambia aache wizi nikakata simu.
 
Mmaweza mkawalaumu kumbe nao pia wameshinikizwa tu maskini
Bt hii kali sijui kama ilishawai tokeaga toka nchi ianze
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una maana watu kama wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app


Angalia, tukichukulia tu online, magufuli ana followers 1M twitter , lissu only 150k..
Mpaka apo story imeisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una maana watu kama wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Pole sana, FYI mimi sifungamani na chama... kama ungelikuwa unaiona michango kwenye suala la siasa ungeelewa. Sina ule ujinga kuwa eti CCM imejenga barabara mtaani kwetu nisishukuru kwa sababu tu mie chama fulani 😀
 
Mm nimeitwa ndg JUMA, wakatii sioo jina langu, Wana nini awa watu aiseee.....??View attachment 1603666
Chadema nao wafanye hivyo, siyo kuwa CCM wamepepwa database ya watumia simu, bali wanatuma bots tu. Na hawajui kuzituma kwani badala ya kutaja jina lako wangeweza kuandika Ndugu Mtanzania Mwenzangu, na kupeleka bots zote hizo kwa watanzania wote.
 
Tuliambiwa atapita bila ya kupingwa, alituambia ni raisi wa wanyonge sasa anatuandika SMS za nini sisi wanyonge hatuna lakumuamulia mwenye nguvu? kwakweli sio haki kabisaa basi.
Kama huu uwanja wa kampeni uko huru basi mitandao ya simu warushe za wagombea wote ili uwiano uwe sawa.
Hii ni sawa na ile yakuwasimamisha wagombea uraisi wa upinzani mara huyu siku 7 mara mwingine siku5 wakati upande wa chama tawala pia kuna matamshi ambayo ni yakukwaza lakini haya semwi.
 
Back
Top Bottom