kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Inawezekana hata wale wa tuma kwenye namba hii,wanazitoa huko huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana hata wale wa tuma kwenye namba hii,wanazitoa huko huko
Huko ni kuingilia uhuru wa watumiaji wa simu, wanajua kabisa wateja wao watakuwa na itikadi tofauti kwanini watume meseji za kumpigia kampeni mgombea wa CCM?
Kuna wajinga watasema ni haki yao kwasababu CCM wamelipia, watambue CCM wamewalipa hao wenye makampuni ya simu hawajawalipa watumiaji, haya mambo ya kujipendekeza kwa CCM yakome, wanastahili kushtakiwa.
Kwanini usiende wewe kwanza.Huu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.
Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Huwa mnasema fine prints wakati wa kujiunga ni mitandao hii!? Sasa niwaondoe shaka haya ndio vigezo na masharti yanazingatiwa.
Umejuaje mimi kidume?Ukutu nawe una damu anakutegemea. Mungu awasaidie wanawake kwa kweli.
Eti kidume na wewe. Kujibu hoja huwezi.
Kuna watu bana, ccm ipo mpaka 2100I know, naamini wanaosimamia mtandao wangu siyo wajinga.
Naifua tena na Aerial
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo CCM wanaoipenda kwa dhati na hawanufaiki chochote na wala hawajanunuliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una maana watu kama wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Haiwezi kiwa maisha yangu. Hata isipokuwepo mi naishi tu kiroho safi. Nilishavuka stage ya utegemezi wa mfumoHahaha yaani ccm ni maisha yako hata ufanyaje
Uliingia mkataba kukubali watakachotangaza wenye line yaoSikuingia mkataba wa Mambo ya siasa mimi
Pole sana, FYI mimi sifungamani na chama... kama ungelikuwa unaiona michango kwenye suala la siasa ungeelewa. Sina ule ujinga kuwa eti CCM imejenga barabara mtaani kwetu nisishukuru kwa sababu tu mie chama fulani 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una maana watu kama wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Chadema nao wafanye hivyo, siyo kuwa CCM wamepepwa database ya watumia simu, bali wanatuma bots tu. Na hawajui kuzituma kwani badala ya kutaja jina lako wangeweza kuandika Ndugu Mtanzania Mwenzangu, na kupeleka bots zote hizo kwa watanzania wote.Mm nimeitwa ndg JUMA, wakatii sioo jina langu, Wana nini awa watu aiseee.....??View attachment 1603666
Ikisemwa CCM na Serikali yake jua nimesemwa tu na Mimi GENTAMYCINE ambaye ni Shabiki Mwandamizi wa CCM na Rais Mtarajiwa Dkt. Magufuli.Vipi mbona umepanick kupitiliza? Kuna nini "NYUMA" ya pazia