Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Tulizeni munkar, leo mmepokea kutoka CCM ndio mnataka kwenda mahakamani afu wengine wanasema eti kapewa database 😀

acheni utani, hizi meseji za matangazo zipo nyingi sana tu tunatumiwa za makampuni mbalimbali kila uchwao wakitusumbua tu.
Ujumbe ni kuwa Watanzania hawaipendi ccm wala jiwe

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.

NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Kwani hilo ni tangazo la biashara?
 
Wewe ndio uache ujinga, Nani kakwambia sijui hzo ndio maana Sheria nazo hubadilika maana hupitwa na wakati, Toka lini Mambo ya wanasiasa ikawa advertisement. Mfyuuu
Kwani advertisement lazima iwe biashara
 
Ndio nauliza nna kampuni yangu naweza kwenda tigo niwalipe wanirushie matangazo kwa sms kwa wateja wao woootee?
Na kama ni yes, si ingekua fujo kwenye simu zetu zina jam kwa matangazo lukuki.
Kwani wewe huoni matangazo ya biko
 
Kifupi ni itoshe kusema ya kuwa jamaa hawakujiandaa kabisa na ushindani hesabu zao zimekuwa ni tofauti kabisa na aliewashauri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji111][emoji111][emoji111]mambo yamekuwa mazito mno
Tutawachapa kisawasawa nyie chadema trh28
 
Ndio ctaki huo upumbavu wa wanasiasa bila consent yangu, ctaki kabisa that's simple hayo maelezo mengine ni useless kwangu hayana nafasi.
Hutaki sawa lakini by time being utatumiwa wewe na familia yako
 
Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.

NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Mzee inaruhusu promotions info za kampuni za simu, tena ukitaka usiwe unazipataunaweza.

Nakumbuka nilishawafata Tigo,nikawawashia moto na sms zao zisizo na kichwa wala miguu.

Mpaka leo sijawahi kupata sms zaid zinazohusiana na tigo wenyewe tu.

Tusifanyane jalala.

Bado voda nae,naona wanatabia za kipumbavu kama hizo za kutuma sms hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom