Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Flying over hazijasaidia [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa ni Uhuru ,haki na maendeleo tu
 
Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.

NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.

Kunipa habari za Magufuli mwanasiasa na mgombea wa Urais CCM ndiyo meseji za promo hizo?

Message za promo ni zile zinazohusu bidhaa ama products za kampuni na kampuni yenyewe ya simu sio kumhusu mtu ambaye ni mteja mwenzangu tu..!!

Message hizi za promo "sender" huwa na jina la kampuni ya simu yenyewe. Hizi message za Magufuli zina jina lake ama CCM kama sender. Ndiyo tunajiuliza kapate namba yangu huyu?

Hapa wamechemka, wanastahili kushitakiwa
 
Tatizo ni kutumia wananchi wote message bila ruhusa yao, haya matangazo hayaruhusiwi unless mwananchi amekubali kabisa kua yupo tayari kupokea matangazo, fanya huu ujinga nchi zlizoendelea uone unavyoburuzwa mahakamani. Kukusanya data za wananchi including majina si kitu kigumu ni rahisi sana hata mimi naweza kufanya, hata kutuma message kibao si ngumu, watu wa mitandao wakifanya obviously ni rahisi zaidi ila haimaanishi mtu hawezi tengeneza software akaweka kwenye machine ina line nyingi ikaanza kusambaza message moja moja kwa kila mtu, ni software inayochukua nusu saa tu kutengeneza.
Inabidi wachukuliwe hatua kuruhusu huu ujinga, kama mitandao ya simu imehusika iburuzwe mahakamani kujibu kwa nini wanaruhusu matangazo kwa wananchi bila ruhusa, kama haikuruhusu basi CCM wenyewe au waliohusika wakajibu mashtaka. This shit can't happen without questioning, mtu mshamba apokee message hizi unadhani kura inaenda wapi? mambo ya muhimu kama haya yanayodetermine direction ya nchi sio ya kuyachukulia kitoto.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee! Yani unataka kuwapangia haya makampuni jinsi ya kufanya biashara?

Hivi ulishawahi kulalamika vituo vya tv na redio kutangaza pombe kwa wanywaji na wasio wanywaji bila ridhaa yao?

Hizi akili ndio Lisu anawafundisha?

Acheni wivu chukueni na nyie mamilion yenu walipeni voda, tigo na airtel wawafanyie kampeni.
 
Kunipa habari za Magufuli mwanasiasa na mgombea wa Urais CCM ndiyo meseji za promo hizo?

Message za promo ni zile zinazohusu bidhaa na kampuni yenyewe ya simu sio kumhusu mtu ambaye ni mteja mwenzangu tu..!!
Hao ni wafanya biashara ndio maana hata huwa wanatia matangazo ya betting kwa njia ya sms.
 
Kama ndivyo ni nini ana hangaika na Watu ,si asubiri hiyo Siku tuone Umuhimu wake huo unao usemea hapa.
Hiyo ni campaign, kwani upinzani wamekatazwa kutumia hiyo njia. Wao waende kunakohusika wakaombe, wangoje jibu. Wakikataliwa waende mahakamani, maana sioni kwa nini JPM apewa na TL asipewe. Nadhani makampuni yanaweza kupigwa faini, maana hawawezi kutumia kisingizio chochote huku wakimpa simu za watu JPM.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee! Yani unataka kuwapangia haya makampuni jinsi ya kufanya biashara?

Hivi ulishawahi kulalamika vituo vya tv na redio kutangaza pombe kwa wanywaji na wasio wanywaji bila ridhaa yao?

Hizi akili ndio Lisu anawafundisha?

Acheni wivu chukueni na nyie mamilion yenu walipeni voda, tigo na airtel wawafanyie kampeni.
Na wewe acha zako. Pombe ni bidhaa. Na watangazaji wanalipia. Simu ya mtu kisheria hatolewi kwa mtu yoyote labda kuwe na agizo la mahakama. Kumpa JPM namba za watu ni kukiuka sheria. Tusidanganyane. Wewe unadai wachukue mamillioni wawalipe VODA, una uhakika kalipa? Je una uhakika hizo namba kazipata VODA au kwenye kampuni za simu? Anaweza kuwa amezipata TCRA!
 
Kule kibamba kuna kuna mgombea udiwani wa ccm anaitwa laizer naskia kawapa mamlaka makada wa ccm kupita nyumba kwa nyumba kuandikisha number ya kitambulisho cha mpiga kura na number ya simu
Dah! Haki inaporwa hivi hivi.
 
hta kura wanajua wafanye nini...nyinyi piheni makelele kwenye mtandao...hata wote mpigie chadema cc watashinda
Haki tu. Ndi almuhim. Mengine aachiwe Mungu.
 
Na wewe acha zako. Pombe ni bidhaa. Na watangazaji wanalipia. Simu ya mtu kisheria hatolewi kwa mtu yoyote labda kuwe na agizo la mahakama. Kumpa JPM namba za watu ni kukiuka sheria. Tusidanganyane. Wewe unadai wachukue mamillioni wawalipe VODA, una uhakika kalipa? Je una uhakika hizo namba kazipata VODA au kwenye kampuni za simu? Anaweza kuwa amezipata TCRA!
Hizo sms zimetumwa na ccm au mitandao ya simu?

Kilichofanyika hapo ni ccm kuwalipa hayo makampuni kisha kuprint hizo sms na kutuma kwa wateja wao kwa lengo kupiga kampeni, sasa shida iko wapi?

Unasema wamechukua namba na kumpa Magufuli[emoji3][emoji3][emoji3] yani nyie washabiki wa Lisu mbina mko empty kichwani?

Hiyo ni sawa na kwenda kulipia tangazi kwenye tv au redio au kuchukua picha za wagombea na kubandika barabarani. Zote hizo ni kampeni shida, shida iko wapi enyi wafuasi wa Lisu?
 
Wa kulaumiwa ni AIRTEL maana wao wamevuta mpunga wa CCM na kutriger hilo limeseji kwa subscribers wote maana kila mtu meseji imeingia ikimtaja jina kabisa!
 
H

Hii sio issue ya Lissu. Ni issue ya privacy, dimwit
 
Zingekua zinatoa option ya kureply ndio angejua kuwa hapendwi
 
H
Hii sio issue ya Lissu. Ni issue ya privacy, dimwit
Unajua maana ya privacy kweli wewe?

Yani voda au tigo kukutumia sms kwa kutaja jina lako kwamba flani anataka umpigie kura ni suala la privacy?
 
Zingekua zinatoa option ya kureply ndio angejua kuwa hapendwi
Ukireplay zinaenda kwa Magufuli?

Alafu mbona mnakuwa wajinga? Kwani hii nchi kumbe Lisu tu ndio mwenye wafuasi ila Magu hana?
 
Wa kulaumiwa ni AIRTEL maana wao wamevuta mpunga wa CCM na kutriger hilo limeseji kwa subscribers wote maana kila mtu meseji imeingia ikimtaja jina kabisa!
Sasa hawa wafuasi wenzio wa Lisu wanalalama nini?

Mwambieni Lisu na yeye atoe mpunga ili wamfanyie promo
 
Unajua maana ya privacy kweli wewe?

Yani voda au tigo kukutumia sms kwa kutaja jina lako kwamba flani anataka umpigie kura ni suala la privacy?
Vilaza wa chumia tumbo kama nyinyi tunawafundisha tu halafu tunawaacha
Screenshot_2020-10-18-16-07-31-432_com.android.chrome.jpg
 
Ikiwa TCRA hawatawaomba radhi, me nashauri mvunje laini zenu.
 
Back
Top Bottom