A
Anonymous
Guest
Ukiingia WhatsApp Channels, Meta wana mkakati wa makusudi wa kupendekeza channels za ajabu kwa watanzania.
Hiki kitu ni cha makusudi kabisa lakini TCRA na mamlaka za Serikali wako kimya.
Wao adui mbaya kwa Taifa ni anayewakosoa sio anayefanya mambo kama haya ya Meta.
Nimeangalia simu ya mwanangu, nikaangalia simu za jamaa zangu wa karibu - hizi ndo channels zinazopendekezwa zaidi Tanzania ili zipate more followers!
Haya ndo mambo inayopenda Serikali yetu?