A
Hao ni kama BIBO umechoka kuishi peke yako jiunge upate Warembo.Ukiingia WhatsApp Channels, Meta wana mkakati wa makusudi wa kupendekeza channels za ajabu kwa watanzania.
Hiki kitu ni cha makusudi kabisa lakini TCRA na mamlaka za Serikali wako kimya.
Wao adui mbaya kwa Taifa ni anayewakosoa sio anayefanya mambo kama haya ya Meta.
View attachment 3656267
Nimeangalia simu ya mwanangu, nikaangalia simu za jamaa zangu wa karibu - hizi ndo channels zinazopendekezwa zaidi Tanzania ili zipate more followers!
Haya ndo mambo inayopenda Serikali yetu?
Wanaweka picha za pisi kali kinoma sasa sijui kweli au utapeliHao ni kama BIBO umechoka kuishi peke yako jiunge upate Warembo.
Utapeli wa AI.Wanaweka picha za pisi kali kinoma sasa sijui kweli au utapeli
Kumbe bora umenisanua, nilitaka kuingia mkenge nifanye order 😅😅😅Utapeli wa AI.
Unaponunua Huogopi kuhamishiwa mikosi na laana kupitia ngono.?Kumbe bora umenisanua, nilitaka kuingia mkenge nifanye order 😅😅😅
OGOPA MATAPELI.Kumbe bora umenisanua, nilitaka kuingia mkenge nifanye order 😅😅😅
Kwani nikinunua siwezi hamishia mikosi kwa ninae mnunua ?Unaponunua Huogopi kuhamishiwa mikosi na laana kupitia ngono.?
Hapa ndio umenisananua nikasema naweza jipatia mke huko kumbe wangenila hela yanguOGOPA MATAPELI.
Mchungaji anasema wewe unayenunua ndiye unayedhurika, sasa sijui ukweli ni upi?Kwani nikinunua siwezi hamishia mikosi kwa ninae mnunua ?