TCRA ni kati ya vyombo vya kiserikali vyenye kujiendesha kienyeji sana.

TCRA ni kati ya vyombo vya kiserikali vyenye kujiendesha kienyeji sana.

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Ni aibu kuona chombo kikubwa kama hiki ndani ya serikali kikiendeshwa bila weledi na sembuse kisichopenda kuwajibika litokeapo kosa kati ya matawi inayoyasimamia.

Mfano hai ni hiki kinachoendelea sasa kwenye mgogoro kati ya watoa huduma na wateja juu ya upandishaji holela wa bei za data.
Pamoja na malalamiko ya wateja katika harakati za kuomba utatuzi wa jambo badala yake kumekuwa na machapisho kadha wa kadha kujinasibu kuwa tanzania tuna bei ndogo zaidi kuliko nchi nyingi za A. Mashariki. Kujilinganisha na nchi nyingine, nani kawatuma? Nani anajali??

Tazama mifano ya machapisho hayo
Screenshot_20220509-171422.png

Wadau hawana dogo nao wanajibu mapigo kwa fact
Screenshot_20220509-171517.png
Screenshot_20220509-171553.png
Screenshot_20220509-171642.png


Pamoja na yote mdau mmoja hakuwa nyuma ya wakati
Screenshot_20220509-171712.png


Tutaendelea na mwendo huu mpaka lini? Kwa nini turidhike na nafasi hii tuliyopo sasa badala yake tufanye juhudi tuwe mfano kwa wengine kwa kushika namba 1? Au wapi tunakwama kama taifa?

Anyway!. Tupate ufafanuzi zaidi toka »
Screenshot_20220509-172024.png
 
Wigo wa bei unaweka TZS 1.5/MB hadi 9.35/MB
Huo ni wigo au uchochoro wa kupigia pesa?
 
Nchi inaongozwa na mazuzu watu wabinafsi na wasiokuwa na utu.
 
Mataperi tu afu line zao wamezilimit kwenye vpn wakt kenya Uganda vpn kwenye mitandao ni ujanja wako tu
Putin endelea na hyo kazi tu[emoji34][emoji34]
 
Back
Top Bottom