TCRA: Polepole Tv ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji habari

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
"Humphrey Polepole Online Television ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji wa habari, jambo linalowapelekea kukiuka sheria, kanuni, misingi na maadili ya uandishi na utangazaji wa habari katika kazi zao."

Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi.
- Kamati ya Maudhui ya TCRA

====
TCRA yakifungia kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole
 
"Humphrey Polepole Online Television ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji wa habari, jambo linalowapelekea kukiuka sheria, kanuni, misingi na maadili ya uandishi na utangazaji wa habari katika kazi zao." - Kamati ya Maudhui ya TCRA
Kwa hiyo mnataka kusemaje? Je hamna utaratibu wa kuhakiki vyeti vya wanahabari kabla hamjafungua au kutoa leseni ya biashara?
Humphrey Polepole asihukumiwe kwa uzembe wa TCRA.
 
Polepole yeye hajui ukiwa na online TV inabidi usiwashike wale jamaa.
 
"Humphrey Polepole Online Television ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji wa habari, jambo linalowapelekea kukiuka sheria, kanuni, misingi na maadili ya uandishi na utangazaji wa habari katika kazi zao."

Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi.
- Kamati ya Maudhui ya TCRA

====
TCRA yakifungia kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole
Kumbe Magufuli bado anaishi katika dikteta Samia
 
Alivyokuwa anatunga hizi sheria kandamizi alifikiri kuwa anawakomoa upinzani peke yake🐒🐒🐒
16397383909940.jpg
 
Back
Top Bottom