Anha itakua ni yao maana vipeperushu vingi vya TCRA vinahayo magari.Yalionekana kwenye website yao labda kama wameondoa zile picha maana kipindi cha uchaguzi baadhi ya wadau humuhumu jukwaani walisema yanapikiwa ubwabwa kwa ajili ya wapigakura wa chama dume
Hawana tofauti na waganga wa jadi wenye matangazo kwenye mistimuWaseme hadi sasa wamekamata matapeli wangpi?????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wao wenyewe ndo watapeli
Siripoti ujinga Technology imekua kama wameshindwa kuwakamata waendelee na mazoea yao yaani namba ya tuma hela kwenye namba hii wahuni wanaitumia mwaka mzima hawakamatwi harafu mimi nitoe taarifa ya nini kama sio ujinga ni nini? vifaa vya kisasa wanavyo wanataka sisi tufanye niniHaimaanishi kuwa wao hawatumiwi, mbona hata polisi wanaibiwa ila bado wanakamata wahalifu, tena recent kuna traffic police Kenya kaibiwa simu wakati yupo barabarani. Ripoti hizo namba unaweza kuokoa wengi kupigwa